Recent content by Discpline

  1. D

    Wanaume wengine hawajali wakezao.

    Anaamkaje bila pesa? ukiwanacho ni rahis kuona walokosa wote wazembe!siajab anafanya vbarua au vibiashara anachoambulia ni hela ya kula tu,na anawategemez kumi kdg! "there are things in life u ll neva understand until it happens to u!"
  2. D

    Mwanamke kwenda Club ni ishara ya tabia chafu na kushindikana kwao?

    Msicha Anaefuata Mziki Mara nying hawi available atakua na kaka ake au kikund cha marafiki ,hawez kuwa peke yake sabab anajua risk yake,sio rahis wewe ht uwe mkware vp ukapata nafas ya kulala nae labda upate contacts umtafute siku nyingne,pia wanaume wakibongo ustaarab bado wakigundua mdada yuko...
  3. D

    Mwanamke kwenda Club ni ishara ya tabia chafu na kushindikana kwao?

    Kwa taarifa yako wazaz wa ushuan ndo wanaelewaga hayo mambo ya watoto wao kwenda clubbing wanawapa na magar kabisa! Wauswaz Sana Wanaenda sababu hamna anaewafuatilia Familia za hapo kati ya uswaz na ushuan sana ndo huwez kuta mtoto wao anaenda club labda kwa kutoroka! Kila jambo na wkt wake huyo...
  4. D

    Wanaume tubadilike, tenda utendewe!

    Mh Hv Haya ni majukumu ya mke au ni mazoea tu sababu zaman wanawake hawakuwa na majukum mengine katka jamii! mke si mpishi,wala dobi wako kufanya ivyo au kutokufanya haimuondolei sifa ya kuwa mke hata kazin pamoja na kwamba unalipwa mshahara once in a while company or ur boss show u appriciation...
  5. D

    Kama una date na binti wa watu na hutaki kumuoa mwambie ukweli

    Umeongea Kitu cha maana tatizo wanaume walio wengi hawajuag namna ya kuachana na wanawake wao sababu walipowatafuta waliwamwagia ahad lukuki! Wanaume waanze kubadilika wanapoanzisha mahusiano wasiweke ahad ambazo hawawez kutimiza,inatosha kumwambia msichana unampenda unataka kuwa nae,km yupo...
  6. D

    Kama una date na binti wa watu na hutaki kumuoa mwambie ukweli

    Utakuja Kulia kilio cha samaki machoz kwenda na maji! waliosubiri km wewe wameishia ivo, mtoto wa form one hajui hata nin anataka wala mapenzi ni nin nakuhakikishia siku akiyajua hayo usishangae kuambiwa wewe si mwanaume wa ndoto zake!sijui utakua na umri gan bythen ila km unafikiri fustration...
  7. D

    Kwa tulio oa, je ni baada ya muda gani unawasiliana na ukweni?

    Hv si wanasemaga ndoa inaunganisha familia mbili kuwa moja na ndugu,sasa kigugumiz kinatoka wap? kwanin zaman uliweza saa hv unaona ngumu?au sabab umepata ulichotaka kutoka kwao wachukulie ndugu wa mkeo km ndugu zako inasemeka mwanaume aliye karibu sana na ndugu wa mkewe hujiwekea nafas nzuri...
  8. D

    Sababu ya baadhi ya wanaume kubadilika wapatapo utajiri

    Huo ni mfano mmoja tu! umewahi kujiuliza kwanin watu weng huwathamin na kuwapenda zaid mama zao? umewah kufanya utafiti ukagundua familia nying ambazo mama ametangulia kufariki watoto hupata shida sana na familia husambaratika ht km baba yupo vizur kipesa! Mwanamke ktk ndoa ndo mvumilivu mkuu...
  9. D

    Sababu za kitaalamu na za kisayansi kwanini wanaume waoe wake wengi na waruhusiwe kuchepuka

    Kuna Wanawake Wasagaj Pia,wanawake Mastista ni wengi kuliko mapadri,wanawake wanakufa wengi kwa uzazi na kansa ya uzaz na matiti! Kwanin Kuna Mwanamke Mmoja Anakua na wanaume zaid ya mmoja!? The world is nt fair, hata useme wawe na wanawake kumi bado wapo watakaobaki! tukirud kwenye uhalisia wa...
  10. D

    Wanawake acheni hii tabia, Inakera

    Hahaha inawezekana... mana ana hasira sana na wasichana sababu ya huyo msichana mmoja... mbaya zaid labda alimtokea demu wa mbabe wa mtaa akaenda kumsemea...si unajua wavulana wanakuaga na makundi ukitongoza demu wa mmoja wanakujia kundi zima kukuwashia moto! u teenager una mbwembwe zake!
  11. D

    Wanawake acheni hii tabia, Inakera

    Yanatokea mkuu, ba mkwe ana macho nae na ni mwanaume km wanaume wengine!
  12. D

    Wanawake acheni hii tabia, Inakera

    Inawezekana au umekua katika mazingira ya kubanwa sana kwa hyo hukupata kupitia steji ambayo unatongozwa mpk hutak tena kusikia habari hizo ivo ndo unapitia sasa!
  13. D

    Wanawake acheni hii tabia, Inakera

    Halafu wala...huhitaji kusubir kuwa mtu mzima sana kuwa na busara ,ni kufikiria kikawaida tu!
  14. D

    Wanawake acheni hii tabia, Inakera

    "That Must Be a girl not a woman!" Huyo Atakua Msichana na sio mwanamke mkuu! wasichana ndo wanaushamba wakutongozwa wasamehe wakikua wataacha! kugombaniwa na wanaume ni sifa kwa msichana kwa mwanamke ni aibu! Mwanamke ana kifua hata akitongozwa na baba mkwe Hasemi!
  15. D

    Mapenzi ya wanafunzi wa kileo

    Mleta Uzi Bila Shaka ni product ya MZUKILA ,Umenithrowback kinoma noma!
Back
Top Bottom