Wanaume wengine hawajali wakezao.

Wanaume wengine hawajali wakezao.

Unataka amletee kitunguu cha 100 au kofuli la papuchi?? Huwa anasafiri kwa basi au anatembea mpaka afike?
 
Je una matatizo yafuatayo katika tendo la ndoa

1. Kuwai kumaliza chini ya dk kumi

2. Uume kusinya ukiwa uken au kabla hujaingiza

3. Uume legelege mda mwingine kushindwa kuingiza uken

4.manii machache na mepesi

5.kushindwa kurudia round ya pili tatu nne au tano

6.kuchoka baada ya round ya kwanza

Kwa kutumia matunda tu ntatoa formula yaan maelezo jins ya kuandaa hayo matunda ukiwa nyumban na kupona kabisa ndani ya siku 3/5/714 inategemea na ukubwa wa tatizo ni matunda bila kemika

Gharama ni elfu 20

Njia ya malipo ni online kwa tigopes mpes kwa namba hii moja 0712505049
Au ofisin chanika mwisho karibu n kisarawe yalipo makazi yangu na ofisi

Utapona kabis kama hujazaliwa na tatizo napia lilitokana na punyeto au vyakula kama wali chips soup soda na kemikali
Wasiliana na dr kwa 012505049
Mkuu tangazo umelipia?
 
One of the behavior that affect the welfare of the wifee and children at all nihiyo.

Nikweli kuna wanaume wenye hio tabia kabisa hata kwetu wapo
Mama mmoja mtaa wa tatu hapa anatuthibitishia hilo mara kwa mara na vingine tunashuhudia
Sasa mkewe kajifungua yani ni Huruma tupu anamwambia atumie madaso ya mtoto wa kwanza ambayo yamechakaa na ni machache sasa unakuta mida mingine hali ya hewa mbaya hayajakauka mtoto anakosa madaso
Ile mtu amejifungua sijui vitenge viwili tu ambavo vimechakaaa
Mida mingine hata sukari ya uji tu wa mama aliejifungua ni ishu
Juzi mtoto wake mdogoo 4 months kalazwa alikua anaharisha jamani mama wawatu alipata shida sana hospitali vidaso vichache. Nepi ndo hakunaa pampas nani anunue yani yani wanaume wahivo mungu anawaona
Sabuni ya kufua madaso na nguo nyingine za mtoto mpaka wapigizane kelele
Mida mingine anaondoka haachi hata hela na baadhi ya vitu vinakua havipo
Mkewe akilalamika utasikia hela si zangu nawewe tafuta zakwako.

Hii roho ni zaidi ya uchawi

I thank God for a very wonderful and responsible man when it comes to those issues
He is responsible yes responsible

cc: Smart911
 
Kama nimekupenda ma tukapendana... Nikaku shawishi kukuweka ndani na ukakubali.. Kwa nini nisikuhudumie...

Changu chako.. Chako utaamua mwenyewe...

Love you mahondaw
 
Utakuta mke bonge la kitu (Mrembo kila idara)..sisi tunaangaika videmu vituko hasa,mwanaume timamu anahakikisha home huduma zote muhimu zinapatikana,harafu ndo suala la kuonja nje siku mojamoja kimtindo....ha ha ha.
 
Ndio mana huwa tunaambiwa wanawake tujishughulishe ili kuepukana na karaha hizo.

Na hata siku moja tusitegemee kwamba mwanaume atakutimizia kila kitu vipo vitu binafsi ambavyo unatakiwa kuvifanya bila hata kumshirikisha huyo mume.

Huyo anayelalamika akisema asubiri kununuliwa itafika kipindi hata hiyo chu*i ya kuvaa ataikosa.

Wanawake tuamke jamani khaa.
Anaamkaje bila pesa? ukiwanacho ni rahis kuona walokosa wote wazembe!siajab anafanya vbarua au vibiashara anachoambulia ni hela ya kula tu,na anawategemez kumi kdg!
"there are things in life u ll neva understand until it happens to u!"
 
Kama nimekupenda ma tukapendana... Nikaku shawishi kukuweka ndani na ukakubali.. Kwa nini nisikuhudumie...

Changu chako.. Chako utaamua mwenyewe...

Love you mahondaw

And that's why I thank God for bringing such a wonderful man into Mahondaw's life.
You know what you are doing mylove

Hahaha chako nichangu changu cha watoto na vyama vyetu wanawake lol
Nakulavu sana Smart911
 
Ofcoz yes... I have to think ahead and know what my lady wants.. Siyo mpaka uniambie... I know my responsibilities mahondaw... You are my responsibility...
 
Chakushangaza unakuta wameishi miaka 7 au 10 mwanaume hajui hata soksi ya mtoto bei gani....

Hajui hata hela ya mchele imetoka wapi

Woiiiiiii

Si bora uishi mwenyewe na wanao tu
 
Ofcoz yes... I have to think ahead and know what my lady wants.. Siyo mpaka uniambie... I know my responsibilities mahondaw... You are my responsibility...

Smart911 mylove Angalia huu mwili usizidi hapa
Make kwa hii furaha unayonipa mhmmhmhmhmh
Nakulavu lav lav sanaaaaa super Dear wangu
 
Smart911 mylove Angalia huu mwili usizidi hapa
Make kwa hii furaha unayonipa mhmmhmhmhmh
Nakulavu lav lav sanaaaaa super Dear wangu
Haujalishi mwili kama unaongezeka au laah... Kinachojaalisha ni unaongezekaje...

Look at you vile unavyoongezeka... Unaongezeka hips na butts only.. Kiuno kidogo.. Tumbo dogo... Kifua daaah umesimamisha chuchu...
 
Kwaraha zetuu na Smart911 khakhaakhaa siye teinaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa lol

Macho hayana mategeee
Mwenzako yamenifika hapaaaa
Mimi kidegeeee
Wewe kiota nishakupataaaa
Kiumeni chegeee
Kama ni kwenye mpira Ngassaaa
Baki nibebeeee
Nitadondoka ukiniachaaaaa
Umeniteka nimerogeka wakijileta waambie upo na mimi
Umutima wanje niwe wautwayeee
Mylove hayo ni maneno ya baba kailaaaa

Wacha nifunge domo langu
 
Kwaraha zanguu na Smart911 khakhaakhaa siye teinaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa lol

Macho hayana mategeee
Mwenzako yamenifika hapaaaa
Mimi kidegeeee
Wewe kiota nishakupataaaa
Kiumeni chegeee
Kama ni kwenye mpira Ngassaaa
Baki nibebeeee
Nitadondoka ukiniachaaaaa
Umeniteka nimerogeka wakijileta waambie upo na mimi
Huhuu I'm just singing mie lol

Wacha nifunge domo langu
Usisahau na ile miuno yako... Na wakati unaimba usisahau kujifanya tshirt haipiti shingoni na kuanza kudeka deka nije nikuvalishe tshirts...

Alafu tunaishia kuvuana... Badala ya kuvalishana...
 
Kuna wanaume hawajali mke ila sio wote, ila kwa sasa nazan kama imezidi kila mtu analalamikia hawa viumbe. Kuna ndugu yangu analalamika haachiwi ela ya matumizi na mume ni mtu wa kusafili. Akiludi hata kitunguu cha 100/= hana na apo kaondok amekaa kalibu miezi mi3 na akiludi anasema hana ela. Mwanamke ana mwaka wa 5 haijui nguo mpya [HASHTAG]#chupi[/HASHTAG] wala dera la kuswalia ata Iddi. Kwa kifupi hamjali mwenzake, ila mwanaume neno [HASHTAG]#NAKUPENDA[/HASHTAG] haliishi kwa mkewe.
HIVI KWANINI HAMUWEZI KUANDIKA KISWAHILI FASAHA? ??????
MTU UNAANDIKA: NAZANI? ???BADALA YA NAZANI
AKILUDI BADALA YA AKIRUDI
EL BADALA YA HELA.
HALAFU WATU HAWAJUI KUTUMIA VIKANUSHI.
Ukweli huwezi kujiita mtanzania halafu huwezi kukiongea kiswahili sanifu. Kiingereza shida kiswahili pia patupu
 
Usisahau na ile miuno yako... Na wakati unaimba usisahau kujifanya tshirt haipiti shingoni na kuanza kudeka deka nije nikuvalishe tshirts...

Alafu tunaishia kuvuana... Badala ya kuvalishana...

Heheheeeiyaaaaaaaaaaaa
Kwa miuno teina hapa ndo pake siunanijuaa lakini!!? Ni mwendo wa kusimamia visigino tu katika mpaka chini narudi juu chini juu
Did you forget mylove??
My duty is just to hold you tight and give you a very deep kiss, with my body nakuachia Smart911 ushughulike nao
 
Nakumbuka kila kitu love... Kissing your sweet long neck... Mpaka una nanilii pichu... Alafu ati unanilaumu nimekufanya nini huku ukijiachia nikushughulikie vizuri....

Hahaha...

# Nacheka kwa dharau #
 
Nakumbuka kila kitu love... Kissing your sweet long neck... Mpaka una nanilii pichu... Alafu ati unanilaumu nimekufanya nini huku ukijiachia nikushughulikie vizuri....

Hahaha...

# Nacheka kwa dharau #
Thank you so much my one and only super Dear
I love you and I miss you so Mmmuaaaaah
 
Back
Top Bottom