Umenikosha kweli baba mkwe tena>?"That Must Be a girl not a woman!"
Huyo Atakua Msichana na sio mwanamke mkuu!
wasichana ndo wanaushamba wakutongozwa wasamehe wakikua wataacha!
kugombaniwa na wanaume ni sifa kwa msichana kwa mwanamke ni aibu!
Mwanamke ana kifua hata akitongozwa na baba mkwe Hasemi!
Na iwe kama mlivyoandika wakuuWomen are insantiable in nature.
Nature is natre ni mater what.....Aisee basi bora tuiache nature ifuate mkondo wake
Mkuu, kweli ni ngumu kupingana na nature ila kwa hawa wetu naona kama wana nature yao ya kipekee.Aisee basi bora tuiache nature ifuate mkondo wake
Ndomaana... Kumbe sifa ndo zinawaponza???... Dah
Hahaha mkuu basi, manake ukiendelea utavumbua siri zetu za kuwakamata watoto wakali... Hahah wajanja tunacheza na udhaifuMkuu, kweli ni ngumu kupingana na nature ila kwa hawa wetu naona kama wana nature yao ya kipekee.
Unaweza kukuta mwanamke ameolewa yuko ndoa lakini ikipita miezi minne hajajaribiwa hata na mwanaume mmoja, anaanza kudevelope sense of insecurity(kujiona ameshuka soko)
time will tell, yangu macho
Hhahaha, tatizo kuwatofautisha ndio mtiti, hajulikani Woman yupi, girl yupi... Wote matendo yao na uwezo wa kufikiri unafanana kwa kiasi kikubwahaahhaaa eti mapenz ya halmashuri noma Sana mkuu nakubali uwashilishaji wako ila pia hao ni wasichana real woman hana ujinga huo
Sasa mkuu unashauri kabla ya kutongoza tufanyeje?Haahaahaahaa daah pole sana mwanzilishi wa uzi huu kwani inaonyesha wazi ulichezea chaga za kutosha baada ya kuparamia wanawake kadhaa kwa mitongozo yako ya hovyohovyo bila kuzingatia muktadha pia na mudi/saikolojia ya mwanamke unaetaka kumtongoza
NOTE: Ukiwa mkurupukaji ktk kutongozo utakuwa ni wakuchezea chaga na kutangazwa kila siku
![]()
![]()
"usijifanye una mapenzi ya halmashauri kupeleka ripoti kwa CAG"
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
mleta mada bwana
atakua mfanyakazi wa halmashaur du... kauahuo ndio mitihan sasaHhahaha, tatizo kuwatofautisha ndio mtiti, hajulikani Woman yupi, girl yupi... Wote matendo yao na uwezo wa kufikiri unafanana kwa kiasi kikubwa
Wacha weee... Kwa huu muono ulionao inaonyesha dhairi wewe sio wa miaka hii, muono adimu sana huu dada.