Wanaume tubadilike, tenda utendewe!

Wanaume tubadilike, tenda utendewe!

Dah!
ningefanya hata ka u sungura nikakubembeleza nikakugonga hata papuchi walau, baada ya hapo tungekuwa ngoma droo
Ha ha ha.... Me hata ugonge , kama hueleweki una go!! We shaur yko watakubembelezea wenzio ndo ukome urere (umbea)
 
Mario Balloteli alisema hauna haja ya kumpongeza akifunga goli maana ndio kazi yake.

So nimpongeze kisa anafua nguo zangu? Kwani jukumu lake ni nini?

Kutunza watoto sio jukumu?

Yaani hapo ni sawa na kudai haki sawa kwa wote huku ukisema mwanamke anateseka kubeba mimba kwa miezi 9......

Mh Hv Haya ni majukumu ya mke au ni mazoea tu sababu zaman wanawake hawakuwa na majukum mengine katka jamii!
mke si mpishi,wala dobi wako kufanya ivyo au kutokufanya haimuondolei sifa ya kuwa mke
hata kazin pamoja na kwamba unalipwa mshahara once in a while company or ur boss show u appriciation kwann usimuoneshe mkeo shukran ili hali anafanya kwa upendo tu!
mleta uzi ametukumbusha kupeana asante na pole once in a while and not to take everything for granted kwan kutokufanya ivo kunapelekea kuchukuliana poa na ndoa kuanza kuboa!
Hata Mwanaume Asipokua Appriciated Kwa Kutimiza Majukumu Yake Anajisikia Vibaya.
Zawad pia muhim kwa wanandoa ni ishara ya kujali!
 
Sasa ikiwa kila nikipikiwa chakula kizuri napaswa kumnunulia zawadi daaah! sasa itakuwa misuse of our family resources? maana nahisi navopikiwa vzr kila siku nitafliska kwa kutoa zawadi kwakweli.
Mkuu ata mapenzi busu nayo ni zawadi[emoji2] [emoji2]
 
mwanamke mwenye Busara humshukuru mumewe kwa moja kubwa "kumchagua"
hayo mengine ni viherehere vyenu,

wewe upo nyumbani, mi nimekununulia mavazi malazi, mafuta mazuri, nimekutia mimba "ukapata" watoto nikuhemelee upike halafu uninunie eti sijakushukuru kwa chakula!
Shenzi kabisa,

kwanza wanawake hamridhiki kwa chochote,
MUNGU kawawekea makalio mnaona hayawatoshi mnaweka ya bandia, kucha bandia, nywele za marehemu, rangi ya kipodozi, sura yenye wanja nashedo, Ngozi zenye michoro ya ina(sijui hina) hadi sauti za kuigiza!!

Sisi wanaume tutawaridhisha tuwaweze????

mi roho yenu inaendana na nyoka, maana alipowadanganya mlikubali!

(Si wote ila wengi wenu)
Samahani kwa wale wasiomkosoa MUNGU ktk maumbile yao au ya wenzao
Duhh,kazi anayo mkeo
 
Watu huwa.mnajali sana mambo.madogo

Pole na kaz akisema nakumbuka kuwa kasema asipo sema sijali maana sijaweka kuwa.ni.neno la lazima

Ila swala kunipikia ndio nalo care hizo mbwembwe zingine km hajanizoea kabla hatujaona basi atajuta

Eti
Kuna demu anambiaga wewe mgumu kuomba msamaha wala sijawai sikia neno nisamehe kutoka kwako..??

Wasichana wanapenda sana kujali vitu ambavyo sio msingi smtymz
Kama umekosea kwa nini usiseme samahaniii? Kwani ina kucost sh ngapi?
 
Sasa ikiwa kila nikipikiwa chakula kizuri napaswa kumnunulia zawadi daaah! sasa itakuwa misuse of our family resources? maana nahisi navopikiwa vzr kila siku nitafliska kwa kutoa zawadi kwakweli.
Aah mkuu hujaambiwa kilasiku hata mala moja kwa mwezi sio mbaya
 
Hayo mambo yanakuwa kipindi cha mwanzoni mwa ndoa..Ila bana ukisema uzingatie mazingatio yote yanayodumisha na kuongeza upendo katika ndoa utajikuta hata kazi hufanyi kwa jinsi mlolongo wake ulivyomrefu...
 
Wazee wetu hawakuwa na hizo mbwembwe lakini mambo yalikwenda vema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom