Kiwanja /shamba linauzwa Lina ukubwa wa eka 1 na nusu lipo Kibaha Mathias upande kilometa Moja na nusu toka Barabara ya morogoro kwenye kitongoji kiitwacho Jamaica being ni maelewano na ina HATI MILIKI Piga Simu 0714973871
Kama wewe nI kidume nenda Dodoma kafanye unayotaka kuyafanya unaona mkono wa she ria unavyofanya kazi utawekwa mahali salama na jamii yako itapata tabu kwa ujinga wako na kutafuta sifa usizopata watu wa mwigulu wanakusubili
Unajua kama rais atamchagua mwanajeshi au polis I kuwa mkuu wa mkoa au wilaya name kuwmambia nenda katekeleze ilani ya uchaguzi ya ccm ni hivi askari kwa kipindi hicho anatekeleza maagizo ya amir I jeshi mkuu wa kipindi hicho hata kama atakuwa chadema amir I jeshi mkuu mwanajeshi Hugo atakuwa...
Tuipige , na nani we mpinga juhudi za rais au hivi kweli we we unataka maendeleo ya haraka kweli kila kit kupinga ndio maana rais amesema msimcheleweshe name uchaguzi umekwisha salsa no kazi tu
Unajua kila zama na wakati wake utawala wa mwinyi ni ruksa na utawala wa mkapa ni kukusanya kodi na utawala wa jk ulitoa Uhuru wa kila MTU kujiamulia na wa jpm ni wa hapa kazi tu nI kweli maisha magumu lakini hii no bajeti take ya kwanza na kama alivyosema kakuta hazina haina kitu tusimuukumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.