Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,400
Leo hii kila utakapopita wananchi wanalalamika ugumu wa maisha. Leo hii ukikutana na watu 10 basi tisa kati yao wanamkumbuka Jakaya na kumlilia. Jakaya alikuwa kiongozi aliyeelewa maana ya uongozi. Jakaya alikuwa kiongozi aliyeelewa mahitaji ya wananchi wake, pamoja na kuangushwa na wasaidizi wake ila Jakaya anabaki kuwa kiongozi bora..
Baba Jakaya tokea umetoka si siku nyingi, ni miezi 6 tu ila maisha yamezidi kuwa magumu...
Baba Jakaya tokea umetoka bidhaa zimepanda bei maradufu
Baba Jakaya tokea umetoka wanafunzi wako wameitwa vilaza na kufukuzwa chuo
Baba Jakaya tokea umetoka ajira ulizokuwa unatoa hata zile za walimu na kada za afya zimesitishwa
Baba Jakaya tokea umetoka hakuna ruhsa kufanya mikutano tena
Baba Jakaya tokea umetoka wananchi hali yao inazidi kuwa ngumu na kudorora
Baba Jakaya tokea umetoka uhuru wa kuongea hakuna tena
Baba Jakaya tokea umetoka ETI hata bidhaa kama sukari imekuwa hadimu
Baba Jakaya tokea umetoka hakuna tena nyongeza ya mishahara kwa watumishi wa umma
Baba Jakaya tokea umetoka dola inazidi kupanda
Baba Jakaya tokea umetoka hakuna pesa mifukoni kabisa
Baba Kikwete tokea umetoka bunge halina uhuru tena. No live coverage
Baba Kikwete tokea umetoka wabunge wamezidi kukatwa posho
Baba ebu tueleze ulikuwa unafanyaje na kufanikiwa hayo yote?. Ni nini ilikuwa siri ya mafanikio yako?. Baba kwa nini usiisaidie nchi hii na utawala huu kwa kutoa ushauri?...
Baba Kikwete, tusaidie. Wananchi wameanza kukata tamaa. Hali ya maisha ni ngumu, ngumu kupita kiasi... Mungu azidi kukubariki Rais mstafu Jakaya Kikwete!..
#kwetu sisi wananchi wa kawaida wakati wetu wa kulimia meno ndio umefika. Tutakukumbuka daima na milele. Tunaomba msalimie Mama Salma na watoto... Kwaheri ya kuonana