Ni sawa sawa kulinganisha (Kinana) Barcelona na (Mashinji) Yanga.Hebu tuwalinganishe hawa katika nyanja za:
1. Utendaji katika vyama vyao.
2. Uwajibikaji
3. Ujengaji wa hoja
4. Mafanikio yao.
Dr Mashinji na Ndg Kinana ni makatibu wa vyama vikubwa hapa nchini. Ni watendaji na wanaobeba ujengwaji wa vyama kwa ufupi ndio wanaoshika roho za vyama vyao. Je, unawaonaje katika uimarishaji wa vyama vyao?
Wajirekebishe wapi ili kuiinua Tanzania yetu?
ipi hiyo mikakati au operation za kijinga ndio mikakati yake? hahaaMashiji ni zaidi tena zaiiidi mno. Huwezi kumlinganisha na mkimbizi yule. On a CCM na seikali wanavyotetemeshwa na mikakati kabambe ya Dr.Mashinji. UKUTA uligharmu shs ngapi za serikali, Katafunua he.
Katibu si kelele no mikakati bwana.
Kanali wa jeshi na mgambo wa kijijiDr na ndgu hahahahaha Dr cheti halali na Ndg....
Mikakati gani kaweka ikaonekana? hivi ndo tunavojimaliza kwa kujipa matumaini...Dr Slaa alikua mpiga kelele na mpanga mikakati hasa!..Mashinji butu bora hata Lissu ashike hicho cheo!.Mashiji ni zaidi tena zaiiidi mno. Huwezi kumlinganisha na mkimbizi yule. On a CCM na seikali wanavyotetemeshwa na mikakati kabambe ya Dr.Mashinji. UKUTA uligharmu shs ngapi za serikali, Katafunua he.
Katibu si kelele ni mikakati bwana.
Hahahahaha wewe kweli hamnazo hivi unaongozwa na akili yako kweli au msukumo wa kisiasa tu.Mashiji ni zaidi tena zaiiidi mno. Huwezi kumlinganisha na mkimbizi yule. On a CCM na seikali wanavyotetemeshwa na mikakati kabambe ya Dr.Mashinji. UKUTA uligharmu shs ngapi za serikali, Katafunua he.
Katibu si kelele ni mikakati bwana.
Dah... Ama kweli bado kuna stock kubwa sana ya zile pakiti kitaani[emoji12] [emoji12]Mashiji ni zaidi tena zaiiidi mno. Huwezi kumlinganisha na mkimbizi yule. On a CCM na seikali wanavyotetemeshwa na mikakati kabambe ya Dr.Mashinji. UKUTA uligharmu shs ngapi za serikali, Katafunua he.
Katibu si kelele ni mikakati bwana.
Mmoja in daktari mwingine ni jangiliHebu tuwalinganishe hawa katika nyanja za:
1. Utendaji katika vyama vyao.
2. Uwajibikaji
3. Ujengaji wa hoja
4. Mafanikio yao.
Dr Mashinji na Ndg Kinana ni makatibu wa vyama vikubwa hapa nchini. Ni watendaji na wanaobeba ujengwaji wa vyama kwa ufupi ndio wanaoshika roho za vyama vyao. Je, unawaonaje katika uimarishaji wa vyama vyao?
Wajirekebishe wapi ili kuiinua Tanzania yetu?
hatujamsikia kujenga hoja popotemimi namkubali wa chadema kwavile anajenga hoja zenye maslahi ya nchi nzima lakini kinana nindani ya chama,hivyo machimji nibingwa
4.kuhusu mafanikio mmoja amefanikiwa saana kwenye Mali ikiwa ni pamoja na kumiliki meli zinazofanya biashara ya magendo mwingine akitegemea mshahara tu.Huyo wa meli ndo maana huwa hawasemi kabisa gwajima na mange...Hebu tuwalinganishe hawa katika nyanja za:
1. Utendaji katika vyama vyao.
2. Uwajibikaji
3. Ujengaji wa hoja
4. Mafanikio yao.
Dr Mashinji na Ndg Kinana ni makatibu wa vyama vikubwa hapa nchini. Ni watendaji na wanaobeba ujengwaji wa vyama kwa ufupi ndio wanaoshika roho za vyama vyao. Je, unawaonaje katika uimarishaji wa vyama vyao?
Wajirekebishe wapi ili kuiinua Tanzania yetu?
Nimecheka SanaKumbe chama cha Chadema kina katibu mkuu, duh
Anafahamika kijijin kwenuKinana ni Kiongozi mkubwa na anafahamika Kwa umahiri wake vijiji vyote kila sehemu. Ila huyo mashinji hafahamiki hata hapa kinondoni. Yaani Kuna wafanyakazi wa cdm bado hawamjui. Kinana yuko vizuri kila nyanja kutokana na kuwa kwenye chama chenye sera nzuri