Recent content by directortanzania

  1. D

    JamiiForums Tanzania MziziMkavu na wengineo msaada wenu tafadhali

    Ahsante sana ndugu yangu.
  2. D

    JamiiForums Tanzania MziziMkavu na wengineo msaada wenu tafadhali

    mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm
  3. D

    JamiiForums Tanzania Pccb na interview zao

    Hivi deadline ni lini?
  4. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na mbio za mwenge

    M Msigwa hakwenda kwa ajili ya shughuli za mwenge BALI kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya Baba wa Taifa yaliyofanyika kitaifa Iringa leo.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kaniambia hanipendi - ushauri tafadhali

    Ndugu chiwa, Umeongea mambo mazito sana na yenye maana kubwa sana kwa wanandoa hawa na hata wengine watakaobahatika kusoma thread hii. Nitawasiliana na jamaa ili tukupm, kwani unaweza ukawa msaaada mkubwa sana katika jambo hili. Ahsante sana kwa muda wako na ushauri mzuri sana.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kaniambia hanipendi - ushauri tafadhali

    Ahsante sana.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kaniambia hanipendi - ushauri tafadhali

    ahsante sana kwa ushauri murua.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kaniambia hanipendi - ushauri tafadhali

    Tabia mbaya ya rafiki yangu ni kuhoji uhalali wa mke wake kuchukua pesa zilizoko kwenye mipango ya kimaendeleo ya familia bila kumshirikisha mumewe.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kaniambia hanipendi - ushauri tafadhali

    Wapendwa nawashukuru sana kwa michango yenu katika jambo hili. Leo wkt wa lunch nimeonana na rafiki yangu. Tumejaribu kuongea in a positive way ili kwanza atulie ili baadaye tuweze kuangalia lipi la kumshauri rafiki yangu. Hakika rafiki yangu anahitaji msaada, kwani hali hii inamuumiza sana...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kaniambia hanipendi - ushauri tafadhali

    Wanajamvi, Nawashukuru sana kwa ushauri wenu murua. Nahaidi kumshirikisha rafiki yangu katika hii thread ili tusome wote kabla ya kumshauri nini cha kufamya, kwani penye nia hapakosi muafaka na penye wengi hapaharibiki kitu. Naomba wadau muendelee kutoa ushauri katika jambo hili. Natanguliza...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kaniambia hanipendi - ushauri tafadhali

    mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm
  12. D

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda ahamishwa toka Muhimbili kwenda Hospitali ya Magereza Segerea

    Wamemtoa ili kukimbia MAANDAMANO YA KESHO YA WAISLAMU. Chezea Intellegensia ya Polisi Tanzania wewe.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuachana na CHADEMA na kurudi CCM

    wewe si ndiyo umeleta thread ya kumsifia Mwigulu? Kamwe CHADEMA haijawahi na haitokuwa na wanachama wa aina yako, hivyo ACHA KUPOTOSHA JAMII. FULL STOP.
Back
Top Bottom