Nimeamua kuachana na CHADEMA na kurudi CCM

Nimeamua kuachana na CHADEMA na kurudi CCM

iron finger

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
369
Reaction score
252
Chama hiki kimekuwa hakina shukrani kabisa nchi hii na wala uzalendo kwa taifa ndio maana katibu mkuu mzee Slaa anaiunga mkono Rwanda

Kila kizuri cha Kikwete au CCM lazima CHADEMA wakitie kasoro,chama cha CHADEMA kinajulikana vizuri sana ni chama
kinachofadhiliwa na vyama vya makanisa ya Ujerumani na Denmark, hatujaona hata siku mija CHADEMA kinawasiliana na nchi za kiislamu duniani.mimi ni mchaga na sifurahikii kabisa na mipango ya CHADEMA wanavyofanya najua wakija kupata Urais wa nchi hii basi vitu viwili vikubwa vitatokea vita vya dini na ukabila na ndivyo CHADEMA wanavyoelekea.

kumtukana JK si kwa sababu ni mpinzani wao bali ni kwa sababu ni muislam mbona mkapa alivyokuwa anatawala CHADEMA wala vyama vingine walikuwa hawamtukani? kwa sababu ni mkristo? au kuna jingine?
 
Ukimaliza udini wako kamuulize baba yake kama yeye ni baba yako? huenda umezaliwa na ile dini nyingine, udini wa nini muda huu??? muulize tu baba yako kama kweli yeye ni baba yako.
 
kabla ya kujiunga chadema ulikuwa wapi?
umetoka mavumbini na utarudi mavumbini.....
 
Najua ccm kuna dili la kua mapunda nenda kabebe unga uko kijana
 
Chama hiki kimekuwa hakina shukrani kabisa nchi hii na wala uzalendo kwa taifa ndio maana katibu mkuu mzee slaa anaiunga mkono Rwanda


Kila kizuri cha Kikwete au CCM
lazima Chadema wakitie
kasoro,chama cha chadema
kinajulikana vizuri sana ni chama
kinachofadhiliwa na vyama vya
makanisa ya Ujerumani na
Denmark, hatujaona hata siku
mija chadema kinawasiliana na
nchi za kiislamu duniani.mimi ni
mchaga na sifurahikii kabisa na
mipango ya Chadema
wanavyofanya najua wakija
kupata Urais wa nchi hii basi vitu
viwili vikubwa vitatokea vita vya
dini na ukabila na ndivyo
chadema
wanavyoelekea.kumtukana JK si
kwa sababu ni mpinzani wao
bali ni kwa sababu ni muislam
mbona mkapa alivyokuwa
anatawala chadema wala vyama
vingine walikuwa hawamtukani?
kwa sababu ni mkristo? au kuna
jingine?

Sotw ni watanzania tuepuke kutoa maoni ya chuki na udini na Ukabila! Tutumie mitandao ya kijamii kutoa maoni ya kujenga umoja na Amani na upendo! Mungu ibariki Tanzania
 
Kama kweli ulikuwa ni mwanachama wetu basi ni bora umeondoka. Maana ungekuwa ni mzigo tu kwa CHADEMA. CHADEMA hakiwezi kuwa na mwanachama msukule kama wewe.
 
wewe ni Gamba na utafia huko huko UGAMBANI; hujawahi kuwa CDM.
 
Endelea kunywa Damu za watanzania wapigania Ukomboz munakunywa hadi magazeti waambie wenzio MWANAHALISI tunalitaka gazetu letu pendwa
 
Back
Top Bottom