Recent content by diosottoman

  1. diosottoman

    JamiiForums Tanzania Hatima ya waliosoma diploma na wakapata 3.4 gpa kushuka chini (lower second)

    Hatima yao ni kuendelea kufanya kazi kulingana na professional zao au kufanya mitihani wa tcu wa kujiunga na vyuo vikuu
  2. diosottoman

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Yanga FC Vs Mediama - Uwanja wa Taifa, Dar 16 July 2016

    Yanga tayari wamepata goli moja
  3. diosottoman

    JamiiForums Tanzania Anatuma watu kunichunguza kama nina mchumba

    Naomba hapo ndo watu wanakosea sana kuchukia mzazi mmoja eti aliwatelekeza na hasa vijana waliofanikiwa kifedha ndo wanapenda kusema hivyo eti ooooooh mafanikio yangu baba hajashiriki chochote. Mimi naona huo ni ujinga je unafikiri baba asingekutana na mama ungepatikana wapi. Lakini pia...
  4. diosottoman

    JamiiForums Tanzania Nimejaribu kumtongoza mchumba wangu kwa namba nyingine, amekubali kesho aje geto na wala hanijui

    Ebu ngoja ukubali kukutana naye kama alivyohaidi ili umkamate read handled
  5. diosottoman

    JamiiForums Tanzania I need a male friend to chat with

    Tupia namba yako ya WhatsApps tuchat
  6. diosottoman

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kuwa naye serious nimechoka kuwa na mume wa mtu naitaji wangu

    Awe anajua kuvaa. Kwani kuna wanaume wasiojua kuvaa au
  7. diosottoman

    JamiiForums Tanzania Ebu wanaume pitieni hapa

    Hiyo ni hali ya kawaida kwa mwanaume akiyekamilika na huwa inatokea unapokaa muda mrefu hujakutana na mwanamke
  8. diosottoman

    JamiiForums Tanzania Namna ya kumpa mimba mwanamke alieshindwa kuzaa

    Jamani sayansi nyingine kama hii sijui kama zinasaidia
  9. diosottoman

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta mpenzi/mume nipo serious

    Mimi kuna rafiki yangu naweza kuwaunganisha au
  10. diosottoman

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta mpenzi/mume nipo serious

    Mungu atakusaidia utampata ila pia hakikisha nawe umepitia sababu zilizosababisha uachane na hao waliopita na uone kama na wewe una mapungufu yako ili uyarekebishe
  11. diosottoman

    JamiiForums Tanzania Ana maji mengi, nifanyeje ili yapungue?

    Wewe kijana una bahati kweli wenzako wanamtafuta kama huyo wewe unataka kukimbia au unataka kavu kabisa
  12. diosottoman

    JamiiForums Tanzania Mbilinyi (Sugu) kazi anayo kwa huyu mwanadada

    Huyu dada anatafuta populality kupitia kwa Mbunge na kweli inawezekana atapata maana wasanii wengi wanafanya hivyo
  13. diosottoman

    JamiiForums Tanzania Nawaza sijui itakuwaje kwa huyu binti, nahisi nimemzidi umri sana

    Mbona uwiano wa umri upo poa tu kaka. Endelea na taratibu za ndoa ila subiri amalize form 6 kwanza ili ianze taratibu za ndoa
  14. diosottoman

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi wanapenda wanawake wenye makalio makubwa?

    Wale wenye imani ya kikristu naomba hapo mpite bila comment maana huu ni muda wa kwaresima
Back
Top Bottom