Ebu wanaume pitieni hapa

Ebu wanaume pitieni hapa

Utakuwa na Tatizo, Fanya check up

Inaweza kuwa tatzo gani labda? Sijawahi sikia dalili zozote za maumivu, dalili zozote, in short nipo poa tu (physicality fit), na sijui nichek nn zaidi ya magonjwa ya zinaa... Najua unaelewa naamanisha nin
 
Na hii insu ilinitokea mwanzo in my early 20s ikapotea kwa muda, na saiv naona inarejea tena
 
Mmh hajawahi, ila niliona mtu mwingine jf doctor anasema hivo hivo pia.....
Sa mna matatizo gani jameni au mabomba yenu yanavuja? Virutubisho vinapotea hivi hivi
Huo ni ugonjwa wa zinaa tu yaani umalize kukojowa kisha yaje manii
 
Habari zenu kwanza

Naomba kuwauliza kitu,

Ishawahi kuwatokea hii hali ambayo imekuwa ikinitatiza?
Nimekuwa najikuta naejaculate (natoa manii) wakati wa kumalizia kukojoa na wakati mwingine wakati wa haja kubwa.

Is it a problem or ni uzalishaji wa Mbegu umeongezeka.

Coz sijaona mabadiliko yoyote hata kwenye game, na nilijaribu kumtafta Dk. Wa magonjwa ya zinaa akasema ni jambo la kawaida.

Ebu tupeane uzoefu, sijamwamini sana.
Kama unapesa tafuta mtu anaitwa urologistis(daktari bingwa aliebobeba kwny system ya mikojo) atakusaidia frsh usipoteze muda humu hiyo nipesa bro
 
Hiyo ni hali ya kawaida kwa mwanaume akiyekamilika na huwa inatokea unapokaa muda mrefu hujakutana na mwanamke
 
Ni kawaida hasa kama umekaa sana bila kukutana na mwanamke, na pia kama sio mtu wa puchu. Unaweza kushangaa tu boksa ina semens wakati hata hujasimamisha.

Tafuta mature woman, one night stand au piga puchu ili uondokane na kadhaa hiyo.
 
Dah! Unasaga gomba mkuu? Nilisikia eti ni andas ya veve hio...
 
Gono tena, magonjwa yote ya zinaa nilicheck bro, sikuwa na tatizo lolote, ndio jamaa akaniambia ni jambo la kawaida, na magonjwa haya dalili zake huwa ni za haraka kuziona... Na Nina like 2 months sijafany hizo vitu
mkuu tafuta demu upige mzgo nakuhakikishia litaisha, kuna njia nyingi za kupunguza genye mwilin.Zinaweza kutoka zenyewe,kuota ndoto nyevu
 
Hiyo kawaida ukikaa mda mrefu bila game
 
Hiyo ni dalili ya mwanzo ya ED
 
Mmh hajawahi, ila niliona mtu mwingine jf doctor anasema hivo hivo pia.....
Sa mna matatizo gani jameni au mabomba yenu yanavuja? Virutubisho vinapotea hivi hivi
Hahahaaaaaa we mwanamke sometym unaniboa sometime unanifurahisha, and life goes on.
 
Habari zenu kwanza

Naomba kuwauliza kitu,

Ishawahi kuwatokea hii hali ambayo imekuwa ikinitatiza?
Nimekuwa najikuta naejaculate (natoa manii) wakati wa kumalizia kukojoa na wakati mwingine wakati wa haja kubwa.

Is it a problem or ni uzalishaji wa Mbegu umeongezeka.

Coz sijaona mabadiliko yoyote hata kwenye game, na nilijaribu kumtafta Dk. Wa magonjwa ya zinaa akasema ni jambo la kawaida.

Ebu tupeane uzoefu, sijamwamini sana.
Una muda mrefu huja tenda tendo,,Hongera mkuu Kwa kuepuka dhambi so tatizo hilo
 
Back
Top Bottom