Habari wakuu.
Naombeni msaada wenu wa hali na Mali.
Nimepata msichana ambaye niko naye kwenye mahusiano mapya, nimetokea kumpenda sana na nahitaji awe mke wangu mungu akipenda hivi karibuni.
Tatizo ni kwamba huyu Dada ni mpenzi wa nyanya chungu na ndizi, yaani kila siku lazima ale nyanyachungu na hivyo kupelekea ukeni awe na maji mengi.
Je afanyeje kupunguza Maji ukeni.
Kuna dawa ya kukausha hayo Maji?
Nisaidieni siko tayari kumpoteza sababu ya maji ukeni. Naombeni msaada wa aina yeyote wajameni.