Hivi Mwanafunzi aliyefaulu vizuri combination ya CBN anaweza kusomea Udaktari?

Kwa nini hapana wakati TCU wanaonesha kuwa na principle mbili anachaguliwa? just imagine mtu ana B ya biology na A ya chemistry anakosaje? au kuna ulazima wa kusoma physics?
That's not the case Physics is a must.
 
Haupati kwan kwa mwendo wa serikali hii tegemea changes kubwa sana kwenye idara ya Elimu, bila kusoma PHYSICS NA CHEMISTRY O LEVEL usitegemee kusoma na kwenda udakitar na kwa A level vile bila PCB hutauona udakitar mkuu
 
c90288041e9f87892ac58dfed5b8c755.jpg
 
Wakati vyuo vyote vinahitaji mwanafunzi awe na Chem na Biol principal passess kuna utata kuhusu somo la tatu. Kwa sababu ya competition na chaguzi za wanafunzi inaelekea MUHAS wao hupendelea mwenye Physics au Meths lakini pia kuna vyuo kadha vinavyo chukua wenye somo tofauti la tatu. Ni vizuri kufahamu chuo kipi kinataka nini (somo la tatu) ili mtu ujipange wakati wa kuomba.
 
Huna uhakika mkuu, physics ya A-Level haina application ktk Medicine. Hata matumizi ya vifaa au machines na maintainance zake mwanafunzi anajifunza ktk course husika.
Inawezekana kuna ukweli katika hilo, lakini yeye siye aliyeweka utaratibu, na hapa si maoni yanakusanywa. Kinachoongelewa ni utaratibu unaotumika. Na kama hakuna mabadiliko, bila Physics haudahiliwi MD...mimi mwenyewe ilinipita kushoto hiyo (zamani kidogo lakini)
 
Mdogo wangu anasoma MD1 AJUCO

Alisoma CBG High school.Cha msingi lazima usome requirements vizuri za chuo unachokitaka.Sema MUHAS pasahau hawa wazee hawa
 
Haupati kwan kwa mwendo wa serikali hii tegemea changes kubwa sana kwenye idara ya Elimu, bila kusoma PHYSICS NA CHEMISTRY O LEVEL usitegemee kusoma na kwenda udakitar na kwa A level vile bila PCB hutauona udakitar mkuu
Ni bora tusubiri kitabu kipya cha tcu na si vinginevyo
 
Ni ngumu kaka,Mimi Mwenyewe nilitaka nisome optometry wakanibania eti kisa physics nimepata d,wakati chemistry Nina b na biorogy nilipata c,sasa hivi ninasoma nursing kozi ambayo nilikuwa sitaki hata kuisikia masikioni mwangu,ninajipa moyo tu hii nchi ina mambo ya hovyo,wacha nimalize hii kozi nikaombe uraia hata Uganda,Tanzania wanabaniana sana tena
Hasa hivi vyuo vya afya vya serkali
 
Watu mnapenda kukuza sana mambo, watu mnabishia uzoefu. Kwani guide book ya tcu hamzisomi? Na kama hamzisomi acheni kua mnabisha. IMTU, KAIRUKI, ST FRANCIS, AJUCO NA HATA BUGANDO mwaka jana wamechaguliwa na mimi ni miongoni mwao. Nilichaguliwa imtu-CBG
Shukuru BRN na uchaguzi mkuu
 
Labda kwa vyuo vingine ila MUHAS, KCMC na CUHAS sahau, competition ni kubwa sana
 
Kwa nini hapana wakati TCU wanaonesha kuwa na principle mbili anachaguliwa? just imagine mtu ana B ya biology na A ya chemistry anakosaje? au kuna ulazima wa kusoma physics?
Idiot? Physics is a must
 
Huna uhakika mkuu, physics ya A-Level haina application ktk Medicine. Hata matumizi ya vifaa au machines na maintainance zake mwanafunzi anajifunza ktk course husika.
Acha uongo wa kijijini wewe
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom