huo ni urafiki tuu ila suala la kumuoa huwez jua kwa sasa,cha msingi soma kwa kwanza na baadae ndo utajua msimamo wake juu yako ila usimuweke kama mpenz wa kudumu maana mambo yakiharibika utaumia sana
Hii kweli shughuli pevu kama unampenda mtu halaf humwamin,jaribu kuchunguza ni kitu gan kinakufanya usimwamin na ukishagundua basi tengeneza mazingira ya ww kumwamin.
hebu wanawake muwe mnafikiria mbali,leo unafanya hivyo unafika wakati unahitaji kujifungua inakuwa tabu na kwetu wanaume kufanya hivyo hakukufanyi kuwa mwanauume wa shoka na kutokufanya hakukupunguzii kitu.Hiki kweli ni kizazi cha nyoka ambapo watu wamekengeuka
Hapa ndo ujue kuwa hii nchi imekuwa ya kijinga pamoja na viongozi wake,ujio wa mtu mmoja unafanya shuguli za watu kusimama ambapo hakuna faida yoyote taifa linapata.Hakuna nchi iliyoendelea yenye lengo la kuisaidia nchi iendelee zaid ya kuiangamiza,yote kwa sababu watz wengi wametekwa kifikra...
Neo-colonialism is already existing in tanzania its that most people dont see because our thoughts have been kidnapped.Obamas visit in tanzania is not of any importance instead its just to make us fools
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.