dada, shida haipo. mimi nakushauri mpe tu, kwani atakula peke yake? mbona na wewe utafaidi. kama mnapendana mpeane. kumbuka ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu. utadengua leo, jamaa akibadili mawazo, humpati tena. utakapo mpata mwingine naye atahitaji kula tunda, kwa kuhofia kumkosa nae utampa, kumbe huyo ni mpita njia tu, anakula halafu anasepa.