Wasichana msimuige binti huyu

Wasichana msimuige binti huyu

Saa zingine Mungu anatuepusha na watu ambao hatuendani nao, so we are not supposed to blame the girl

that's true,mi ishanitokea kweli kabisa na nsoma hii thread kama ni mimi vile..ila mungu sometimes huwa anatukutanisha na wapenzi wasio sahihi kwa mara ya kwanza kama mtihani ili tuwe makini kwa wapenzi wa kweli tutakaowapata na ambao tutaishi nao kama mke na mume.ila ndo za wasichana wengi wa chuoni hizo!
 
Mzee lakini mademu wa kama huyo wapo wengi sana.....utasikia boy friend yupo us....
 
Usikute tunakuongelea wewe. No offence meant gal, ukiweza kumuwekesha mwanaume reserve wewe ni timu kubwa. Timj kama majimaji inakuwa haina hata mchezaji wa benchi, kocha akisalia kihasara hasara nae anachezeshwa.

King'asti,dah wewe mkareeeee,mpira pia waujua,tena unaitolea mfano timu ya mtani wangu snowhite..............i like football mad girls........aren't you one of them?just curious
 
Hii tabia ipo ila si wote wanaomaanisha kuna wengine wanafanya hivyo ili kuondokana na hali ya kusumbuliwa mara kwa mara
 
kulingana na tafiti mbalimbali zinaonesha kwamba mwanamke anauwezo mdogo wa kutoa maamuzi hasa ya maisha yake hii inasababishwa na kutojiamini hivyo huishia kufanya analysis wihout decision
 
Mhhhhhhhhhhh!:ranger: FULL BRIGHT SCHOLARSHIP 2008, CURENTLY DOING PHD IN THE US, MARRIED TO AN HALFCAST!!!!!!!!!!:gossip::gossip::A S 100::A S 100:Guess what???????? I KNOW WHO IT WAS!!!!!!!!!!1:whoo::whoo::whoo: The world is such a small place!!!!!

ITS GOOD TO KNOW THOUGH!!!!!!!!!! Information is power!!!!!!!!!

Yaani ww kama mm lara 1 mtoa mada ameweka wazi sana kiasi wote waliosoma UDSM washamjua jamaa wa Cali.
 
Last edited by a moderator:
kulingana na tafiti mbalimbali zinaonesha kwamba mwanamke anauwezo mdogo wa kutoa maamuzi hasa ya maisha yake hii inasababishwa na kutojiamini hivyo huishia kufanya analysis wihout decision
Eti wanasema mwalimu wao ni kipofu.
 
By von sikia nikuambie kitu Mungu hatupi wala hatujalibu kwa mabaya ni ss na tamaa zetu wenyewe na hatuna subira ya kuchagua na kusubir mke mwema toka kwa bwana Mungu tunaomba wkt macho yameshachagua chek bible Yakobo 1:12-17
 
Mhhhhhhhhhhh!:ranger: FULL BRIGHT SCHOLARSHIP 2008, CURENTLY DOING PHD IN THE US, MARRIED TO AN HALFCAST!!!!!!!!!!:gossip::gossip::A S 100::A S 100:Guess what???????? I KNOW WHO IT WAS!!!!!!!!!!1:whoo::whoo::whoo: The world is such a small place!!!!!

ITS GOOD TO KNOW THOUGH!!!!!!!!!! Information is power!!!!!!!!!

Vipi madame mbona umestuka hivi?
 
Sasa imehusu na nini kuambiwa kuwa kaoa chotara?
 
Mhhhhhhhhhhh!:ranger: FULL BRIGHT SCHOLARSHIP 2008, CURENTLY DOING PHD IN THE US, MARRIED TO AN HALFCAST!!!!!!!!!!:gossip::gossip::A S 100::A S 100:Guess what???????? I KNOW WHO IT WAS!!!!!!!!!!1:whoo::whoo::whoo: The world is such a small place!!!!!

ITS GOOD TO KNOW THOUGH!!!!!!!!!! Information is power!!!!!!!!!

Hapana sio huyo unaye mfikiria bana.
 
Yaani ww kama mm lara 1 mtoa mada ameweka wazi sana kiasi wote waliosoma UDSM washamjua jamaa wa Cali.

Unamzungumzia yule jamaa wa Leta Dutigike? Sio huyo bana, jamaa wa cali kaoa muzungu ( tipwa tipwa ), sio yeye
 
Back
Top Bottom