Kumpenda mtu usiyemwamini!!!!!

Kumpenda mtu usiyemwamini!!!!!

Nakubaliana na wewe kabisaaaa...huwezi kupenda pasipo kumwamini mtu na upendo ni zao la imani. Nisipomwamini hakuna jinsi naweza kumpenda...nitakuwa nadanganya tu wakati simanishi
Huwezi kupenda pasipo kumwamini umpendaye...upendo wenyewe tu kwa lugha nyingine ni matokeo ya imani...
 
umeonaaaaaa eeeee bora uwe kama mimi tu hata likitokea hauumii sanaaaaaa

Matokeo mengi ya ubaya katika mapenzi ni imani juu ya watu zao....sasa wakigundua kuwa aliyeaminiwa haaminiki bhaaaaaaaasssiii ndo balaa linapotokea.
 
Amu jitahidi kukaba,mi mwenyewe nina tatizo kama hilo,wakwangu ana hofu ila najua nikimuachia ni hatari nimejitahidi kukaba kwahiyo kidogo anaogopa,ila huwezi kumuamini asilimia 100 umpendae utakuwa humpendi wivu kidogo Muhimu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
aiseeee, hila hapo unaonesha kuna sababu zinazo kufanya ushindwe kumuanini lakini sidhani kama umuamini kabisa sema umuamini sana kama unavyo mpenda sana.

hila swala la kuamini mtu inategemea ntu na ntu.
 
ha ha ha ha acha hizo bana due to some issues tulizokumbana nazo tunajikuta tunapenda ila no kumuamini

Basi hayo si mapenzi bali ni maigizo tu
 
Inawezekana ukampenda mtu lakini haumwamini. Mfano mtu akiwa kicheche lakini we unampenda hivyo huwezi kumwamini. Cha kufanya ni kutomfuatilia sana ili kupunguza maumivu ya moyo.
 
Humwamini mtu atababa yako humwamini? kama hakuna uaminifu basi wewe ni mzigo mzito, tegemea kugombana na watu, tegemea kugombana na majerani. unajitengenezea kaburi yako wewe mwenyewe samaani kwa kusema hivi ila ndo ukweli. kama uaminifu haupo, utaishi kwa mashaka miaka nenda miaka rudi matokeo yake. presure itapanda na ipo siku utazima ghafla.

my advice is better you start trusting people if you don't trust others others will not trust you. sasa itakua ni maisha ghani. jifunze kuamini watu.
 
ndiyo sababu ya kutokosa uaminifu hadi leo?
naomba nikuulize swali kutokana na thread yako hivi unaweza ukawa na akili nyingi halafu huna kumbukumbu is this possible?
 
hivi umenielewa bibie???
amu mpenzi nimekuelewa sana bimdogo! Wala usiwe na shaka!
Mapenzi ya siku hizi ni hadaa tuu! Huo ukweli wa kulove na kutrust au kutotrust hamnaga siku hizi! Ila ndo nakwambia ukitaka faidi.....sanii!

Sent from my famous TCCL!
 
Last edited by a moderator:
Marafiki hivi inakuaje you love someone deeply but you don't trust him/her.Hakuna tatizo kubwa au kosa kubwa lililosababisha nikose kumuamini.Saa nyingine nahisi ni wivu juu yake saa as a result to drive him away from me na pia i can reach the level intimacy.
Embu tuongee issue kama hii tunaihandle vipi?najua wengi wetu inatutokea.Kwa upande wangu mie huyo mjamaa sikai nae sana anakaa mkoa mwingine but mostly of the time tunakuwa pamoja at least twice within a month.
Kaunga Nicas Mtei watu8 Smile snowhite Mtambuzi Mentor Asprin ladyfurahia Paloma Nivea King'asti The Boss Evelyn Salt KOKUTONA YNNAH arabella Mwanyasi lara 1 Filipo mwaJ Kaizer gfsonwin MwanajamiiOne aisee list ni ndefu sana siimalizi wana mmu kwa ujumla mawazo yenu yanahitajika kuihandle situation ya aina hiyo

Inaweza tokea hii kitu..what u need to do ni kumsoma na ku build trust kwake hata kwa nukta tu. Maana km umempenda kweli kiasi cha kumuonea wivu halafu u dont trust him itakusumbua sana....Mwisho wa siku FOLLOW YOUR HEART.
 
Marafiki hivi inakuaje you love someone deeply but you don't trust him/her.

It happen ila sijui ni uongo tu, sijui kuna mapenzi....
mi haniamini wala simwamini kama mchezo wa paka na panya tu
wizi mtupu!!!!!!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: amu
Nilishawahi kupenda nakumwamini mtu niliambulia mavi mabichi yanayotoa moshi???haya mambo yaacheni tu usipende kuyachunguza hutaoa wala kuolewa au presha na vidonda vya tumbo havitakukauka!!!
Please let bygones be bygones
 
  • Thanks
Reactions: amu
The foundation of true love is trust.. Destroy that foundation and you destroy your love.. When you do so there is rarely redemption – there is rarely ever reconciliation.. Never forget this simple truth – there is character in the best loving relationships.. Practice good character and your love will not only survive, it will thrive..

By Dr. Charles D. Schmitz and Dr. Elizabeth A. Schmitz..
 
The foundation of true love is trust.. Destroy that foundation and you destroy your love.. When you do so there is rarely redemption – there is rarely ever reconciliation.. Never forget this simple truth – there is character in the best loving relationships.. Practice good character and your love will not only survive, it will thrive..

By Dr. Charles D. Schmitz and Dr. Elizabeth A. Schmitz..
 
Hii kitu huwa naiskia sana kwa wakina dada...kwangu ni ngumu ku-fathom!!!


Nakupenda lakini sikuamini!?? a a..

Auuuu...ulishawahi kumfumania mahali!???
 
Hii kweli shughuli pevu kama unampenda mtu halaf humwamin,jaribu kuchunguza ni kitu gan kinakufanya usimwamin na ukishagundua basi tengeneza mazingira ya ww kumwamin.
 
Usipokuwa umelewa unakuwa na mapweint kama nini

Mtu unayempenda unamwamini 101%

Hahahahah namwonea huruma huyo chalii ako asee. Na ukilivurumisha yeye anatulia au na yeye analianzisha?

Kuna tofauti kubwa kati ya kupenda na kutamani. Ukipenda utajikuta automatikale unamwanini. Ndo ile mamsemo ya mapenzi ni upofu yanapokujaga. Ila kama ni kutamani tu..... Aaaaah uaminifu tupa kule.

BTW we mwenyewe unajiamini? Isije ikawa mkuki kwa nguruwe lol

Hivi leo Jumangapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom