Recent content by dimbulubuchi

  1. dimbulubuchi

    Huyu hafai kuwa Tz ....ni muhim atazamwe kwa jicho la mwisho!!

    Church warning after paedophile fleesUpdated Fri Sep 7, 2012 8:42pm AEST PHOTO: Goldsmith committed 42 sex crimes against 20 adolescent boys. (ABC) VIDEO: Paedophile flees Tas (7pm TV News TAS) MAP: TAS One of Tasmania's worst serial paedophiles has fled the state and gone to Africa, sparking...
  2. dimbulubuchi

    Coet-udsm

    wote hao ni ngwini!...ndio utamaduni wa wakat huo...kama si mhandisi kupanda juu ya kimbweta ni mwiko,kwa sasa cjui maana kitambo! Kikubwa wadogo zetu wajifunze kwa bidii kwa kozi yoyote ile na kuwa makini ili mwishowe watimize malengo. Vinginevyo,uhandisi hasa COEt una changamoto nyingi sana...
  3. dimbulubuchi

    Coet-udsm

    UDSM kilaza-hamnazo,tupu kichwani! ngwini-wanafunzi wote kasoro wahandisi! wireless-chabo inayotokana na mgandamizo ...namaanisha ukiiangalia kwa angle flan mgandamizo unasomeka! slab a.ka. vimbweta-sehem takatifu ya vikao vya wahandisi coet...kupanda juu yake ili kuhutubia wenzako lazima uwe...
  4. dimbulubuchi

    Majina ya kike ya Kisukuma

    Kabula na Mabula si kwamba mvua nyingi ila ni kuwa walizaliwa wakti wa Masika!
  5. dimbulubuchi

    Failed States Index 2012

    The 2012 Failed States Index - Interactive Map and Rankings | Foreign Policy
  6. dimbulubuchi

    upuuzi wa wazungu juu ya elimu yetu ya kurithishwa kukabiliana na changamoto za maisha

    Nimeshawishikia kushirikisha wadau wengine wajue jinsi gan hawa wenzetu wanaojiona kuwa dunia ni kwa mtazamo wao na si wengine wanavyofikiri.Tazama makala hii kwa uelewa zaidi. iviewhttp://www.abc.net.au/iview/#/view/24904
  7. dimbulubuchi

    From Tanzania to Australia:Natures Great Events

    Nafurahi kuwa Mtanzania. Ni vema kujua na kujivunia maliasili yetu popote pale tulipo. Furahia na elimika, fahari ya Tanzania.link:http://www.abc.net.au/iview/#/view/391737
  8. dimbulubuchi

    Sensa ya idadi ya watu na makazi 2012

    vip kuhusu Watanzania waliopo nje ya nchi kwa maana ya safari na shughuli nyinginezo...utaratibu ukoje?
  9. dimbulubuchi

    Tanzania confirms reflagging Iran oil tankers

    Tanzania confirms reflagging Iran oil tankers - Africa - Al Jazeera English
  10. dimbulubuchi

    Huyu mkaka mbona simuelewi??? nisaidieni mawazo wanajf

    ',,,dunia hii dunia ya leo muda mwingne wakosa mwelekeo..nashukuru nimempata mwenye upeo...naimani nataraji maendeleo'SUMA LEE 2011, Binti ,nionavyo upo kimtindo naye...maana mpaka amemwona mzaz yamkini upendo unao ila tatizo wapenda kijana asiyomudu kwa kadri muda ulivyo......
Back
Top Bottom