Coet-udsm

1.Ipo kote kote Campus na Kijitonyama na kipindi chaweza kuwa popote. muda wowote..tajijua

2.Yes msuli wa electrical ni balaa na usiombe ukawa electrical general utajuta.......labda electrical power

3.kukosa au kupata ni kawaida jiandae kwa majibu yako...

4.una jingine?? usisahau kuweka bili kwa bwashehe............na jiandae sup za second year hasa za programming
 
Wasalaam engineers.
Kuna baadhi ya maswali nimekua nikijiuliza baada ya kuwa selected katika category ya electrical engineering. Naomba mnisaidie kujibu kwa wale wana COET, au kwa yeyote aneyefahamu.
1. Hivi campus ya madarasa kwa engineers iko main campus au Kijitonyama?
2. Msuli wa electrical umekaaje? Kwa sababu nasikia ni balaa.
3. Kwa wale mliochaguliwa 2011/12 je? Kuna mliokosa mikopo kabisa?
Nitashukuru sana makamanda kama nitapata majibu ya maswali yangu.

karibu COET...kaza 4m day 1
 
Ukicheza Prof Chambega na Prof Mvungu wanakula Kichwa Mwaka wa Pili. Kama hujui Programming anza Tuition kabisa la sivyo Utakuwa Halali ya Baba Ishe
 
Mhandisi mtarajiwa,karibu coet,nilikuwepo pale...cha kukushauri kawe na nidhamu ya shule..ukileta umaarufu watakula kichwa..bt nendeni mkairudishe spirit ya slab,,slab nasikia inaelekea kufa...napamis coet woooh
 
kuna jamaa yng alisoma hyo kozi,elec.general, mwaka wa pili akatoka nduki aliona ni msuli mwanzo mwenga hata muda wa kuenjoy hapati akaamua kwenda mzumbe kuchukua ICTM,akapiga first class sasa hv lecture hapo hapo udsm,inaonekana hyo coz ni balaa manake huyu jamaa alikuwa kichwa balaa o level na a level ni special tena mzumbe lakini akatoka nduki live,jipange,komaa,unaweza kula shavu tanesco,ukapande juu ya mistimu
 
wasalaam engineers.
Kuna baadhi ya maswali nimekua nikijiuliza baada ya kuwa selected katika category ya electrical engineering. Naomba mnisaidie kujibu kwa wale wana coet, au kwa yeyote aneyefahamu.
1. Hivi campus ya madarasa kwa engineers iko main campus au kijitonyama?
2. Msuli wa electrical umekaaje? Kwa sababu nasikia ni balaa.
3. Kwa wale mliochaguliwa 2011/12 je? Kuna mliokosa mikopo kabisa?
Nitashukuru sana makamanda kama nitapata majibu ya maswali yangu.
i love electrical engineeering aisee hautojuta kusoma hii kozi maishani mwako ukizingatia .. Nimepita hapo nimesoma hii kozi nafaidi matunda yake ni mmoja ya kozi ambazo unasoma aina zote za hesabu complex algebra,calculus nk msuli wake unahitaji nidhamu tu hasa mwaka wa pili ...
Ushauri soma umeme tuje tuokoe watanzania gizani .. Tunapambana tutashinda kasome uelewe
gpa kubwa inahusuka ila jitahidi kuelewa vitu muhimu
all the best
 
kaka sio siri mimi ni mhandisi mtarajiwa ila sio maswala ya umeme!!! kwa haya maneno yako machache atleast nimeamin watu kama nyie bado mpo!!! nimeupenda ushaur wako japo sintasoma ELE ila umetupa moyo...nashkuru sana
 
kaka sio siri mimi ni mhandisi mtarajiwa ila sio maswala ya umeme!!! Kwa haya maneno yako machache atleast nimeamin watu kama nyie bado mpo!!! Nimeupenda ushaur wako japo sintasoma ele ila umetupa moyo...nashkuru sana
usijali ndugu yangu wahandisi wa nyanja zote bado tunahitajika sana nchini mwetu ..changamoto ni nyingi ila umuhimu kwenye hili taifa bado ni mkubwa sana .. Maendeleo ya taifa hili yanatutegemea sana ..
Tuko pamoja .. Mhandisi ni mhandisi tunaspirit zetu daima zitadumu hakuna siasa ndani yake..
 
UDSM
kilaza-hamnazo,tupu kichwani!
ngwini-wanafunzi wote kasoro wahandisi!
wireless-chabo inayotokana na mgandamizo ...namaanisha ukiiangalia kwa angle flan mgandamizo unasomeka!
slab a.ka. vimbweta-sehem takatifu ya vikao vya wahandisi coet...kupanda juu yake ili kuhutubia wenzako lazima uwe kipanga na mwenye ushawishi mkubwa,vinginevyo usithubutu hasa ngwini!
getimaji/rewegalulila/chuo cha maji-enzi hizo msos wa kushiba bei nafuu,wateja wakubwa wahandis !

nakumbuka sana JKT YANGU!
 
udsm

Slab a.ka. vimbweta-sehem takatifu ya vikao vya wahandisi coet...kupanda juu yake ili kuhutubia wenzako lazima uwe kipanga na mwenye ushawishi mkubwa,vinginevyo usithubutu hasa ngwini!
Getimaji/rewegalulila/chuo cha maji-enzi hizo msos wa kushiba bei nafuu,wateja wakubwa wahandis !

Nakumbuka sana jkt yangu!
mkuu hili hata prof. Mkandara na ukuu wake wa chuo analikubali
sie wakati tumeingia mwaka wa kwanza kulikuwa na kikao na uongozi coet tukapewa spirit za kihandisi kwa kweli zimetujenga sana na zilitupa umoja sana
slab mtatiro na ujanja wake wote hakuwa kusimama acha masilaha wewe daah
kwa kweli jivunie kuwa mhandisi.. Wanakwambia supplementary is our pride lol..
Coet i love you i miss you...
 
UDSM
kilaza-hamnazo,tupu kichwani!
ngwini-wanafunzi wote kasoro wahandisi!
wireless-chabo inayotokana na mgandamizo ...namaanisha ukiiangalia kwa angle flan mgandamizo unasomeka!
slab a.ka. vimbweta-sehem takatifu ya vikao vya wahandisi coet...kupanda juu yake ili kuhutubia wenzako lazima uwe kipanga na mwenye ushawishi mkubwa,vinginevyo usithubutu hasa ngwini!
getimaji/rewegalulila/chuo cha maji-enzi hizo msos wa kushiba bei nafuu,wateja wakubwa wahandis !

nakumbuka sana JKT YANGU!

mkuu hili hata prof. Mkandara na ukuu wake wa chuo analikubali
sie wakati tumeingia mwaka wa kwanza kulikuwa na kikao na uongozi coet tukapewa spirit za kihandisi kwa kweli zimetujenga sana na zilitupa umoja sana
slab mtatiro na ujanja wake wote hakuwa kusimama acha masilaha wewe daah
kwa kweli jivunie kuwa mhandisi.. Wanakwambia supplementary is our pride lol..
Coet i love you i miss you...

wote hao ni ngwini!...ndio utamaduni wa wakat huo...kama si mhandisi kupanda juu ya kimbweta ni mwiko,kwa sasa cjui maana kitambo!

Kikubwa wadogo zetu wajifunze kwa bidii kwa kozi yoyote ile na kuwa makini ili mwishowe watimize malengo.
Vinginevyo,uhandisi hasa COEt una changamoto nyingi sana na za kutisha na kukatisha tamaa....
Kwa wale wa ubundi komaa, wa Bash party zipo nyingi haziishi,!

Kumbuka...migomo bila ridhaa ya wahandisi haifanikiwi!!

1.Ipo kote kote Campus na Kijitonyama na kipindi chaweza kuwa popote. muda wowote..tajijua

2.Yes msuli wa electrical ni balaa na usiombe ukawa electrical general utajuta.......labda electrical power

3.kukosa au kupata ni kawaida jiandae kwa majibu yako...

4.una jingine?? usisahau kuweka bili kwa bwashehe............na jiandae sup za second year hasa za programming

Hawa watu wameshatenganishwa department na watu wa TE na CIT , kwa hiyo kwa freshers kama huyo kijitonyama hausiki tena kihivyo , kule ni makazi ya Coict kwa sasa

Congrats kijana kwa kupata Electrical
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom