Tanzania confirms reflagging Iran oil tankers

kazidi

Member
Jul 7, 2008
61
22
Tanzania has said a shipping agent based in Dubai had reflagged 36 Iranian oil tankers with the Tanzanian flag without the country's knowledge and approval.

Tanzania said it was now in the process of de-registering the vessels after an investigation into the origin of the ships concluded they were originally from Iran.

Tanzania launched an investigation last month over accusations that it had reflagged oil tankers from Iran and asked the United States and European Union to help it verify the origin of the tankers flying the east African country's flag.

A report with the investigation's findings was discussed in the House of Representatives of Zanzibar, a semi-autonomous part of Tanzania late on Friday, and the minutes of that debate were seen by Reuters late on Saturday.

Reflagging ships masks their ownership, which could make it easier for Iran to obtain insurance and financing for the cargoes, as well as find buyers for the shipments without attracting attention from the United States and European Union.

The National Iranian Tanker Company (NITC) changed the names and flags of many of its oil tankers ahead of the EU ban, part of sweeping economic measures aimed at pressuring Tehran to end its nuclear program.

That included swapping Maltese and Cypriot flags for Tuvalu and Tanzanian ones.

The ships flying Tanzania's flag were re-flagged by Zanzibar, which has claimed it was misled by its Dubai-based agent, Philtex, and would end its contract with that firm.

"The government has thoroughly investigated this issue and established that the Zanzibar Maritime Authority [ZMA] through our Dubai-based agent, Philtex, registered 36 Iranian crude oil tankers and containership vessels to fly the Tanzanian flag," Zanzibar Vice President Seif Ali Iddi told the assembly.

"The Zanzibar government is in the process of de-registering the ships and also terminating its agency contract with Philtex after establishing the truth that these [Iranian] ships are flying the Tanzanian flag."

Howard Berman, the ranking member of the US House Committee on Foreign Affairs, had accused Tanzania of reflagging at least six and possibly as many at 10 tankers, saying it was helping Iran evade US and European Union sanctions aimed at pressuring Tehran to curb its nuclear program.

He said Tanzania could face US sanctions for the practice. Berman has also asked the small South Pacific island nation Tuvalu to stop reflagging Iranian oil tankers and warned its government of the risks of running afoul of US sanctions.

Keeping Iran ties
The US sanctions have kept Iran's major trading partners from buying Iranian crude. The European Union banned Iranian oil imports as well as the provision of insurance for vessels carrying Iranian oil from July 1.

On July 4, Tanzania's neighbour Kenya cancelled an agreement to import 4 million tons of Iranian crude oil per year because of sanctions against Iran.

Zanzibar's Iddi said Tanzania would act to de-register the ships in light of the threat of economic sanctions.

He promised further investigations into how the registration of the ships was conducted. However, he said Tanzania's ties with Iran on other issues would remain intact.

Tanzania has previously stated that it supports Iran's pursuit of a peaceful nuclear program.

The United States has mounted an international campaign aimed at depriving Iran of oil revenue to pressure it to rein in its nuclear program, which Tehran maintains is solely for peaceful purposes but the West suspects is aimed at developing nuclear weapons.

"The Zanzibar government will also conduct further investigations to establish how the registration of the ships was done in the first place," Iddi said.

"Regardless of this incident, our relations with Iran will continue in other areas."

SOURCE: Tanzania confirms reflagging Iran oil tankers - Africa - Al Jazeera English
 
Talk about learning the hard way. Big bro proclaims thou shall not! And it shall be done forever and a day/ Ameen.
 
Membe ni mtu hatari sana kuwa rais. Anaonekana ana mpango wa kutuingiza ktk migogoro ya kimataifa, na siasa zake za middle east
 
The government is now naked infront of the international atmosphere!! Waendelee kukataa waone watakavyotusumbua!
 
...that said, now, let's all brace for Tehran's imminent counterattack blows!! Someone just poured salt over our dates, all over. It's vile!!!
 
....
"The Zanzibar government will also conduct further investigations to establish how the registration of the ships was done in the first place," Iddi said.

"Regardless of this incident, our relations with Iran will continue in other areas."

SOURCE: Tanzania confirms reflagging Iran oil tankers - Africa - Al Jazeera English

Wenzetu huwa awakurupuki waliposema kuhusu hili wanaousika walitokwa na povu leo mnaumbuka.Serikali zote mbili yaan ya muungano na mapinduzi simekosa umakini kwa kiasi kikubwa am sorry to say that....kwanini kila siku sisi ni Reactive n not Proactive?

Hivi kabla ya kusajili hizo meli hakukuwa na uchunguzi wa kina kubaini uhalali wa hizo meli given all the dynamics.

Kila mtu anafahamu baada ya Iran kupigwa ban wameamishia operations zao dubai na kusajili makampuni Uae ili waendelee kupiga business hususani yya lami na mafuta mbaya zaidi wateja wao wakubwa ni Tanzania ambayo ni mnufaika mkubwa wa misaada ya marekani na Uk ambao ni maadui wa Iran.

Na ili kudhihirisha how Tanzania is potential kwa Iran kumekuwa na delegation nyingi kutoka Iran na hata kuwaalika viongozi kutoka serikalini na sekta binafsi kwenda Iran kwa garama za serikali ya iran.
 
Membe ni mtu hatari sana kuwa rais. Anaonekana ana mpango wa kutuingiza ktk migogoro ya kimataifa, na siasa zake za middle east

Sidhani kama Membe anastahili lawama kwa kashfa hii. Hapa lawama zimwendee Rais na Idara ya Usalama wa Taifa. Sioni namna gani huyo Agent na serikali ya Zanzibar wangesajili hizo meli bila mkono wa baadhi ya watu ktk SJMT. Hapo ndipo rushwa ilipotufikisha.
 
kiburi cha wazanzibari sasa kinawatokea puani. Wathubutu kuikumbatia iran tena. Wana bahati wamepitia mgongo wa MUUNGANO.
 
Mwanao akimnyea mgeni, kazi yako kama mzazi ni kumuombea msamaha na kumsafisha...hivi ni vijikero tu vya MUUNGANO....:hat:
 
DUbai, Iran, Tanzanian flag hapa kuna mkono wa RA..jamaa ametupotezea miaka 10 kwa mitandao yake na ufisadi na bado anaharibu jina la nchi.
 
Kuna watu kwa itikadi zao za kibaguzi walirukia hili jambo awali kabisa na kudai hizo tuhuma zililenga kuihujumu Zanzibar kwa sababu za kidini.
 
Nimesikia BBC World Service wanasema Reuters wameona documents zinazohakikisha hili. Ni tankers 34. Serikali ya Tanzania imekana kujua lolote which means haiko in control, au inadanganya kuna rushwa ilitembea.

Bad news anyway. One wonders what else is lurking...
 

Ingawa watanzania hawakushupalia kashfa ya Tanzaniakuiruhusu Iran kupeperusha bendera yake kwenye meli zake za mafuta baada yakuwekewa vikwazo kimataifa, kashfa hii inafichua uoza wa serikali yetu. Nijambo la hatari na kujidhalilisha kuruhusu bendera ya nchi kutumiwa na nchinyingine kufanya biashara hatari. Bendera ya taifa ni alama na kitambulisho chataifa chenye thamani kuliko hata urais. Ni ajabu kuwa watanzania, hatawaliposikia habari hii ya kuudhi, hawakuhamanika kuiwajibisha serikaliinayojiita yao. Hili lingetokea kwenye nchi zenye watu wenye mwamko na kujuaheshima na stahiki ya nchi yao, lilitosha kuiondosha serikali iliyokomadarakani. Maana hata ukiangalia utetezi uliotolewa na serikali ni kwa kichovuna uongo mtupu. Eti wanasema kadhia hii imesababishwa na wakala aliyeko Dubai!Ala! Huyu ajenti hata hawasemi atachukuliwa hatua gani wala hawana mpango wakuchunguza kadhia hii. Wameshindwa hata kuomba msamaha wala kulaani uchafu naufisi huu. Je namna hii hayajajengeka mazingira ya kuipiga mnada Tanzania hatakwa makundi ya jinai kama inavyoanza kubainika baada ya vigogo wa vita waSomalia kuanza kuwekeza nchini? Keshoutasikia kuwa makundi ya kigaidi ya Al Shabaab, Al Qaeda hata Boko Haramyanatumia bendera ya Tanzania kwenye makambi yao ya kuandalia magaidi wabaadaye. Huu ni ushahidi kuwa kwa uongozi huu nchi yetu si salama hata kidogo.Maana tangu serikali ya sasa iingie madarkani imekuwa na sifa ya kufanya maduduna kukumbwa na kashfa. Kashfa ya kwanza ilikuwa Richmond ikifuatiwa na Dowansna sasa Iran. Tunapelekwa wapi watanzania? Je tunaogopa nini kuwawajibishawatawala wetu ambao wamethibitisha kuwa madarakani kwa bahati mbaya na kwaajili ya maslahi binafsi. Sitashangaa kesho nikisikia kuwa ajenti wa kununuamafuta toka Iran ni kampuni ya mwanamke Rahma Kharoos Kasiga anayehusishwa naJakaya Kikwete naye asikanushe. Sitashangaa kusikia kuwa kampuni ya mwanamkehuyu ya RBP Oil ikifanya biashara na Iran. Kimsingi, serikali yetu inaongozwana watu wasio na uzalendo wala visheni ukiachia mbali kutochelea kinachowakutabaada ya kuachia madaraka. Viongozi wetu ni fedhuli na wagumu wa kufikiri nakuelewa hasa kutokana na kutanguliza matumbo yakiwaelekeza kwenye maslahibinafsi badala ya mstakabali wa taifa.
 
Nimesikia BBC World Service wanasema Reuters wameona documents zinazohakikisha hili. Ni tankers 34. Serikali ya Tanzania imekana kujua lolote which means haiko in control, au inadanganya kuna rushwa ilitembea.

Bad news anyway. One wonders what else is lurking...

Usajiri wa meli hizo ulifanywa na mamlaka ya SMZ, SUMATRA iliwekwa pembeni, hivyo SMT haihusiki na hilo. Baada ya kashfa hiyo kuibuliwa, uongozi wa Zanzibar ulidiriki kueleza kuwa suala la kusajili meli si la Muungano.
 
Back
Top Bottom