Kila asemaye asilokuwa na hakika nalo anatenda dhambi ya mauti na inampasa akatubu. wewe unayemsema EL, je una hakika ya maneno yako? na www unayelisema kanisa una hakika ya hayo?
Unajua mwenzenu nashindwa kabisa kuielewa serikali yangu iliyo madarakani kwani majanga makubwa yanayoyoonekana machoni pa viongozi kuwa ni madogo yanautesa sana moyo wangu.
Mabomu ya mbagala
mabomu ya gongo la mboto
mauaji ya vurugu za arusha
mafuriko
leo hii tunasikia wenzetu wanakufa ktk...
sio watu wote tuna uwezo wa kucheza mipira miwili kwa wakti mmoja, mmoja lazima utadondoka au yote miwili. asante kwa ushauri wako ila nikupe white and black kwangu haunifai
Sijui nikusaidieje ndugu yangu, ila nikuulize ni kitu gani ambacho umekipenda kwake na unahisi huwezi kukipata kwa mwingine ktk maisha yako yote? Kiufupi hapo unajichimbia kaburi mwenyewe, remember hiv chain of infection!!!!!!!!!!!!!!!!
Hivi majuzi tu nilitoke kukutana na msichana mmoja ktk eneo langu la kazi, ktk kushare some ideas nikagundua huyu mdada alitokea kunipenda/kunitamani.
1day tukiwa duka la jirani na offiisini huyu mdada aliagiza nguo ya ndani toka pale dukani then akataka nimlipie, kwa kuwa niliona ni kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.