matokeo ya form 4 kutangazwa leo saa 10 jioni na naibu wazili wizarani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

matokeo ya form 4 kutangazwa leo saa 10 jioni na naibu wazili wizarani

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by C programming, Jan 29, 2012.

 1. C programming

  C programming JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,226
  Likes Received: 1,036
  Trophy Points: 280
  jamani matokeo yatakuwa hewani leo kuanzia saa moja ........ila saa kumi waandishi wa habali watakuwa pale kumsikliliza naibu wazili
  ila kwa kifupi ni kwamba......nimesikia kiwango kimeongezeka asilimia tatu tofauti na mwaka na nimesikia watahininiwa 2345
  wamefutiwa matokeo......shule tisa hazina matokeo..........source nimepewa na one of my friends wanaofanya kazi baraza......alinipigia simu
   
 2. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kumbuka leo ni Jumapili.
   
 3. R

  Richardbr Senior Member

  #3
  Jan 29, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  naona unayasubiria kwa hamu angalia usije ukawa miongoni mwa 2345 unaowasema
   
 4. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,245
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Hii mizaha mizaha kwenye ishu sirias. Watu tuko tension tunasubiri matokeo ya watoto wetu ujue
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,918
  Likes Received: 609
  Trophy Points: 280
  Matokea ya 4m 4 huwa yanatangazwa na katibu mkuu wa baraza la mitihani tu.over
   
 6. Nyaluhusa87

  Nyaluhusa87 JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Naona dogo anaota tokea lini naibu waziri au waziri akatangaza matokeo?kila mwaka matokeo ya f4 na f6 yanatanganzwa na Ndalichako(Katibu Mkuu wa NECTA).
   
 7. dijly4

  dijly4 Member

  #7
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 11, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukikosa thread ya maana bora ukakeep your mouth shut up!!!!!!!!!!!!
   
 8. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,931
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  No comment.
   
 9. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 8,713
  Likes Received: 1,593
  Trophy Points: 280
  pambafu! Dogo langu karudia pepa we unaleta mzaha..shwaini!!
   
 10. Shardcole

  Shardcole JF-Expert Member

  #10
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,541
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Acha 2subiri 2one.
   
 11. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #11
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,720
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Ngoja tuone itakapofka saa moja.
   
 12. k

  kaboja emmanuel Member

  #12
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  utoto kwenye inshu za maana acha,ni bora ambavyo watu hawajui kwako ingekuwa kama ghadafi
   
 13. Shardcole

  Shardcole JF-Expert Member

  #13
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,541
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Dah jamani mbona wa2 waongo sana? Matokeo hata ch10 hawajatangaza.
   
 14. dottoz

  dottoz JF-Expert Member

  #14
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 764
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 80
  mbona jamani mnakuwa waongo namna hyo?..ishu hii niyamaana sana tena sana.
   
 15. Root

  Root JF-Expert Member

  #15
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 19,849
  Likes Received: 5,092
  Trophy Points: 280
  Huyo jamaa hajawai soma hebu angalia hata huyo waziri alivyoandika
  Wazili badala ya waziri
  Kingine waziri wa elimu hatangazi matokeo huwa na Ndaluchako
   
 16. C

  Cleverest Member

  #16
  Jan 29, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aagggghhhrrr!!ingekua hii thrd ipo katka karatac wallah naichana!
   
 17. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #17
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,226
  Likes Received: 1,408
  Trophy Points: 280
  Nimepita hapa kuangalia madogo wanavyochachawa. Taratibu watoto mtapata vidonda vya tumbo!
   
 18. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #18
  Jan 30, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  I-print tu ili utimize nia!
   
 19. C

  Cleverest Member

  #19
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  teh..teh..haina haja mkuu coz hata kuandka hvyo yatosha kutimiza nia
   
 20. K

  KakaNanii JF-Expert Member

  #20
  Jan 30, 2012
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  wewe kichaa kweli,yani unaleta utani na maisha yetu
   
Loading...