Jinsi gani ya kuchanganya chakula cha mtoto? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi gani ya kuchanganya chakula cha mtoto?

Discussion in 'JF Doctor' started by tizo1, Jan 1, 2012.

 1. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #1
  Jan 1, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Habar za kazi madaktari?mtoto amefikia umri wa kuacha ziwa.naombeni wataalamu mnifundishe jinsi ya kuchanganya UNGA WA LISHE YA MTOTO.
   
 2. g

  goodlucksanga Senior Member

  #2
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuzaa si kazi ya kitotoooooo
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Huo UNGA WA LISHE YA MTOTO hauji na maelezo?
   
 4. dijly4

  dijly4 Member

  #4
  Jan 1, 2012
  Joined: Sep 11, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mhh! mie simo mwaka huu, labda miaka mitatu nitakuwa na ufahamu juu ya hili wadau
   
 5. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #5
  Jan 1, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Nataka ninunue vichanganyio mwenyewe.sitaki unga wa dukani.MSAADA JAMANI
   
 6. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #6
  Jan 2, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Jamani msaada jamani
   
 7. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #7
  Jan 2, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,125
  Trophy Points: 280
  Nenda kwa dr ndodi atakufundisha jinsi ya kuchanganya unga wa mtoto

  - huu unao uzwa madukani hakuna kitu ni biashara tu pale, nenda atakufundisha the utakuwa unatengeneza mwenyewe
   
 8. Nyokamzee

  Nyokamzee Senior Member

  #8
  Jan 2, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Vifaa,
  Mahindi,mchele,karanga,mtama,soyabinzi,ngano,unga wamuhogo, vyote viwe kitukimoja, halafu wakati wa kupika uji, maziwa ndio maji, unapata lishe bora kwa mtoto, na hy ni uji, Sio ugali.
   
 9. Nyokamzee

  Nyokamzee Senior Member

  #9
  Jan 2, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Vifaa,
  Mahindi,mchele,karanga,mtama,soyabinzi,ngano,unga wamuhogo, vyote viwe kitukimoja, halafu wakati wa kupika uji, maziwa ndio maji, unapata lishe bora kwa mtoto, na hy ni uji, Sio ugali.
   
 10. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #10
  Jan 2, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Asanten jamani kwa mawazo mazuri....mwenye ziada si vibaya akaweka michango yake.
   
 11. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #11
  Jan 2, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mahindi ya pepkoni, ulezi, soya beans, mtama, uwele, ngano,muhogo, karanga lkn zinasababishaga unga uvunde mapema, mchele ingawa nao unasababisha uji ukatike mapema. NB SOYA INATAKIWA IROWEKWE SIKU 2 THEN ITOLEWE MAGANDA YOTE NA IOSHWE NA MAJI SAFI ZAID YA MARA 8. unaweza pia ukaweka dagaa pika na maziwa fresh weka na siagi ya ngombe ukikosa weka mafuta ya alizeti au karanga. KILA LA KHERI
   
 12. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #12
  Jan 2, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  asante sana.mtoto anatarajia kuacha ziwa tareh 5/1/12.Nadhani nishapata mwanga jinsi gani ya kuchanganya chakula.SITAKI NIMPE LISHE ISIYO NA UTAALAM.NDO MANA NIMEKUJA JUKWAANI.
  Asante wataalam wangu!Si vibaya kwa yoyote mwenye cha kuongezea amwage hapa.
   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  Jan 2, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Loh!!
  Huo mchanganyiko wote ni mlo mmoja?Mtoto hawezi akavimbiwa kweli?
   
 14. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #14
  Jan 2, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  asije akanizidi uzito....nadhani huyo nh mzazi na anajua kasema nini...inapendeza
   
 15. g

  goodlucksanga Senior Member

  #15
  Jan 2, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hatutaki jua lini anaacha ziwa aiseee
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Jan 3, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nimeuliza kwasababu nimeona watoto wengi wakikuzwa hata mie naweza sema nimekuza ila kuchanganya vitu vingi hivyo sijawahi ona wala sithubutu.
   
 17. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #17
  Jan 3, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  vip mbona SIKUELEWI DADA YANGU?HAUJANIPA MSAADA WOWOTE NGUGU...NAWE NH MTAALAMU?
   
Loading...