Recent content by digaes

  1. digaes

    Mrejesho: Dada wa kazi akimweleza mume wangu siri hii, sina ndoa tena

    Alilala na mke wa mtu,ndani ya nyumba ya mtu, na wala sio mume wake,bado niwaamini wanawake!!!!!!!...."BADO NIPO NIPO SANAAAA..."
  2. digaes

    Tendo la ndoa mara nane kwa siku, mke amechoka

    Ni kweli aixee..mi nimesoma bweni miaka ya 2003 Ifunda Tech Secondary school, tulikunywa sana mafuta ya taa kwenye mboga...
  3. digaes

    Mwanamke akipenda anapenda kweli!

    Yapo ndugu..tatizo inakuwa ngumu kuku Bali kama kweli ni mapenzi ya kweli mpaka pale unapoyapoteza kwa kukosa imani na kuhisi unachezewa picha...
  4. digaes

    Utajiri wa Dr. Dau unashtua

    Hilo neno... ukijumlisha na Ile ya Lugumi, naanza kukosa imani na mtumbuaji...
  5. digaes

    Gardner G Habash: Najuta kuachana na mke wangu wa kwanza

    Yote yanawezekana pekupeku ama na viatu...
  6. digaes

    Faida za kuvaa soksi wakati wa kufanya mapenzi

    !!!!!! Mi nikajua tafiti ya kuhamasisha matumizi ya Condoms(SOKSI)..KUMBE SOKSI KAMA SOKSI!!!!!!!!!!!
  7. digaes

    Tuache utani jamani watoto wa kichaga ni wazuri

    Hiyo ya mwisho kabisa ni BIG FACT
  8. digaes

    BEFORE MAGU

    Amebuni Magazijuto yake fasta....
  9. digaes

    Hivi kuna wanawake wakali na warembo kama Wakinyiramba?

    Kweli aisee, wapo kwenye mabar kibao mjini hapa,mpaka huwa najiuliza hivi kuuza bar ndio taaluma yao?".Kiukweli ni wazuri haswaa,ila wanamegeka kirahisi sanaa...
Back
Top Bottom