Mwanamke akipenda anapenda kweli!

Mwanamke akipenda anapenda kweli!

Mleta mada asante sana. Wanawake wanapenda kweli ka dhati ila shida kubwa wale wanaopenda kwa dhati na uaninifu wa wali ya juu ukiwaudhi imekula kwako. Watavumilia wee ila siku akimau kukung'ita majivu ujue ndiyo mwisho wake na wewe. Ukijua mke au mpenzi wako mwanamke anakupenda basi mpende kwa dhati na mahusiano utayafurahia.
Mwanamke akipenda hats umuuzi vipi hawezi kukimbia coz kupenda ni upofu. Mwanamke akikimbia jua alikuwa anapretand kukupenda
 
Mwanamke akikupenda anakuwa na furaha,
anakuwa anajivunia kuwa na wewe, na hujihisi
furaha kuongea na wewe.
Hupenda awe rafiki wa rafiki zako na ndugu
zako, uvipendavyo na yeye atavipenda,
atabadilisha mtindo wake wa maisha kuendana
na mtindo wako.
Haitajalisha ni kiasi gani utamuudhi,
atakusamehe hata kabla hujamuomba msamaha,
atachokifanya ni kusubiri tu umuombe msamaha
kuthibitisha kama kweli umejutia kosa lako.
Atajaribu kuwa na wivu na atakulinda kwani
atahitaji uwe wake, wake peke yake na sio ku
share. Atawakataa wengine wote
wanaomtongoza kwa sababu ameona kesho yake
ipo mikononi mwako.
Haitajalisha ni kiasi gani uko mbali na yeye,
atajilinda kwa ajili yako. Atalike na ku comment
kila kitu unachoweka facebook hata kama ni cha
kipuuzi (hahaahaa).
Atakujibu kwa wakati text zako either watsapp,
za kawaida au inbox ya fb. Hatajali kama
unampa pesa au laa, kama ni tajiri au laa kwa
sababu lengo lake ni kujenga maisha na wewe na
sio kupass time ameona potentials kwako.
Atakuonyesha marafiki zake na ndugu zake, kwa
sababu anajivunia kuwa mpenzi wako.
Tafadhali sana, muangalie mwanamke huyo,
moyo wake umejawa na mapenzi, anastahili
kutunzwa na kupendwa kama almasi.
Lakini tatizo kubwa la hawa "wavulana" (baadhi
yao) baada ya kumfanya akupende zaidi, baada
ya kupoteza muda wake juu yako, baada ya
kuwakataa wanaume wengine ambapo kimsingi
wengine walikuwa tayari kumuoa, baada ya
kumuacha akutambulishe kwa ndugu zake na
marafiki sasa unamuacha, unamkataa kwa
mbwembwe nyingi, unamuacha akiwa na
maumivu na aibu kubwa kwamba atawaambia
nini wazazi wake, ndugu na marafiki,
atatambulisha wangapi?
Na akiulizwa yuko wapi yule uliyetutambulisha?
Awajibu nini!? Ofcoz atakachofanya ni
kuinamisha kichwa huku ameshika mashavu!
Hana jibu ni aibu na maumivu makubwa kwa
kuwa alikupenda kwa dhati.
Mbona mnawaweka katika wakati mgumu
wanawake waliopewa moyo wa kupenda?
Brothers, usimfanye mwanamke wako ajute
kwanini alipenda, usifanye wengine wamcheke na
kumdhihaki. Timiza ahadi yako, kama
amekukosea na kukuomba msamaha jaribu
kumpa nafasi ya pili. Kila mtu anahitaji nafasi ya
pili ili aweze kurekebisha pale alipokosea.
Na nyie vijamaa mnaokua sasa, miaka 14 na
kuendelea msiige tabia ya sisi kaka zenu, hiyo
sio tabia njema kabisa. Jifunzeni kuheshimu
hisia za mtu. Kujeruhiwa kihisia kunauma kuliko
maumivu ya risasi.
Kama huna future nae usimtongoze na kumpa
mimba.
yote ni kweliii ....nashukuru kwa uyu niliyenaye mana kanipenda kwel
 
Inauma sana pale unapompenda mtu, unamwazia mema kumbe yeye anakuwazia tofauti kabisa.
mpaka sasa sijaelewa definition ya mapenzi ni nini!!
 
Inauma sana pale unapompenda mtu, unamwazia mema kumbe yeye anakuwazia tofauti kabisa.
mpaka sasa sijaelewa definition ya mapenzi ni nini!!
Yaah ni kaz kuidefine but amini yupo wa ukweli somewhere muda tu ukifika
 
Umesema vizuri ni hisia tu hutawala penzi la kweli Na siyo poChi au pesa,,,,
 
Inauma sana pale unapompenda mtu, unamwazia mema kumbe yeye anakuwazia tofauti kabisa.
mpaka sasa sijaelewa definition ya mapenzi ni nini!!
Mapenzi ni uchizi..bila kujitoa ufahamu huwez yaelewa
 
#pesa ni kiungio muhimu ili kufanya theory yako ifanye kazi vizuri

ukiweka na tujimfano kidogo kama wolper kwa $$$$ au wema kwa CK

hayo uliyoyataja yoooooooooooooooote yana fall kwenye pre mature stage..
we jitumbukize kichwa kichwa kama baada ya mwaka hujatumbuliwa
uanze mi status wasapp sijui wote mambwaa mara ningejua
ila ukia na tupesa ahhhhhhhhh mbona utapendwa mpaka ujikojoleee

ukiweka na kijimfano kidogo KEILINI kwa mzee machache
 
I dont believe on this .. Cheating is not acceptable thing .. Thanks ..

Like you said you don't believe it according to your own perspectives, but truth be told, cheating is inevitable wherever you go whether you like it or not. I guarantee you, if you are in a relationship now or will be in the future, your partner will cheat on you. You won't cheat but you'll be cheated on. Be ready for future pain of the heart.
 
AJABU YA MWAKA! Cheating inapunguza Uasherati ! cheating kwa kiswahili ni Uasherati.

Ngoja niweke sawa hii....cheating inapunguza tamaa za kutaka kufanya ngono na kila mwanamke umuonaye. Nani asiyecheat dunia hii?
 
Like you said you don't believe it according to your own perspectives, but truth be told, cheating is inevitable wherever you go whether you like it or not. I guarantee you, if you are in a relationship now or will be in the future, your partner will cheat on you. You won't cheat but you'll be cheated on. Be ready for future pain of the heart.
No matter what I still believe no body is suppose to cheat no one.. Cheating is not acceptable and not a solution , period.. Let them cheating, but I don't entertaining it.. Thanks..
 
Shida ya siku hizi mapenzi ya kweli yameisha.

#Tupo ki material zaidi.
Yapo ndugu..tatizo inakuwa ngumu kuku Bali kama kweli ni mapenzi ya kweli mpaka pale unapoyapoteza kwa kukosa imani na kuhisi unachezewa picha...
 
Well said. Mm najisikia ufahari pale mwanamke anaponiheshimu na ndio unakuwa mwanzo wa kumuwazia mema
Na kuheshimu kwenyewe ni pamoja na kutofanya mapenzi nje ya ndoa,mi huwa inanikera sana wake za watu wanavyochepuka huku waume zao wanapigana kufa na kupona kuleta ridhiki nyumbani.Kwakweli wanawake aliowasema huyo mleta mada ni wachache sana na sina ushahidi wa wanawake wa aina hiyo ila nina ushahidi wa wanawake tena wengine wake za watu kutowaheshimu waume zao kwa kufanya mapenzi nje ya ndoa zao ambazo wengi wao walinyenyekea sana kuzipata hizo ndoa na kutrick waume zao kuwaoa.Ukiangalia yanayofanyika mitaani kwakweli unaweza kumpinga mleta mada kwa kuwasifia hawa viumbe.
 
Back
Top Bottom