Recent content by dibwinhe

  1. dibwinhe

    Kwa hili tunawapa pongezi, kweli Tanesco mnatisha

    Jana nilikwenda kula idd huko mkoa wa pwani vijijini nimekuta nyumba imechoka lakini ina umeme,cha ajabu jamaa kaingia mitini kaicha nyumba kakimbia. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. dibwinhe

    Gari yangu Toyota Rav4 ina matatizo yafuatayo yaliyotokea ghafla

    Badilidha control box Sent using Jamii Forums mobile app
  3. dibwinhe

    UTEUZI: Rais Magufuli amemteua Waziri W. Kindamba kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL

    Dogo yupo vizuri nakumbuka tangu o'level pale Azaboy, ana kipaji sana cha uongozi
  4. dibwinhe

    UTEUZI: Rais Magufuli amemteua Waziri W. Kindamba kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL

    Huyu dogo nilisomanae o'level Azania ni kichwa kizuri sana
  5. dibwinhe

    Kumekucha Zanzibar, mwezi mtukufu wakristo tuepuke mitego

    Hukulazimishwa kama koti linakubana livue
  6. dibwinhe

    Kumekucha Zanzibar, mwezi mtukufu wakristo tuepuke mitego

    Inaonekana wengi wa walalamikaji ni waliopo bara,wenyewe wanaishi vizuri sana kati ya waislam na wakristo
  7. dibwinhe

    Mishahara ya watumishi wa umma kulipwa hazina kupitia BoT

    Mfano ktk payroll nimetumia majina mawili na kule bank nimetumia na jina la ukoo hapa itakuwaje?
  8. dibwinhe

    Ni Bahati Mbaya, Mungu amepanga/alipanga:Hizi kauli zipigwe marufuku

    Je shetani anahusika vipi ktk hizi ajari?
  9. dibwinhe

    Relay

    Maelezo yako hayajitoshekezi ni ngumu kupata
  10. dibwinhe

    Relay

    Weka picha, relay za miguu sita ya round au square
  11. dibwinhe

    Itakuwaje uwanja wa Yanga au Simba kisha mashabiki wa upande mmoja wafanye vile?

    Wajitahidi kufunga kamera ili muhusika ndo awajibishwe
  12. dibwinhe

    Dar Mpaka Moro Miaka ya 1950

    Mwaka 1950 na technology ya picha ya rangi? No
  13. dibwinhe

    Ushauri: Nisome Computer Engeneering au Telecom Engeneering

    Nakushauri soma Electrical Eng,kwani ktk soko la ajira kwanza Civ 2 mech 3electrical 4 telecom mwisho computer
  14. dibwinhe

    Lema akichangia hotuba ya wizara ya nishati na madini, "Manji anaila TANESCO"

    Jaribuni kupata maelezo ya kina,transfomer zinazotengenezwa hapa ni za ukubwa gani?ni hizo ambazo tanesco wameagiza ni za ukubwa gani ndio muanze kuongea,kama hauna data ni bora kukaa kimya
Back
Top Bottom