Ushauri: Nisome Computer Engeneering au Telecom Engeneering

Ushauri: Nisome Computer Engeneering au Telecom Engeneering

Computer engineering n nzur sema inahitaj ujipange..hakikisha dogo unagonga code haswa..ukiwa fund kaz utazikimbia....ata sasa zipo google tasks ukipata unalipwa...freelancer..mashindano mbalimbali...yaan ukijua code utatajirika....sema inahitaji msuli dogo usiku kuwa mchana na mchana kubak mchana... Nasistiza kama huna mambo meng nenda hyo
 
Vijana bhana mbona koz ambazo zinatolewa na chuo kama SUA hamziongelei??
 
Usifuate mkumbo kuwa wenzako wanataka kusoma nin... Basi na wew unataka kusoma hiyo hiyo... Nchi yetu ni changa bado kimaendeleo, angalia nchi ipo katika wakati gani na vipaumbele vyake ni nin kwanza.
Halaf chagua koz ambayo ni inaenda kuamua uelekeo na mustabali wa elimu yako katika swala zima la ajira na kujiari katika maisha yako.
Chemshen akili vijana koz sio tu IT, COMPUTER ENG, COMPUTER SCIENCE, TELE wala mambo ya Electronics.
 
Kuna
AGRICULTURE ENG..., IRRIGATION AND RESOURCES ENG...
WATER RESOURCES AND IRRIGATION ENG.
Mambo ya AGRIBUSINESS AND ECONOMICS
kozi zenye mashiko kabisa na ukimaliza tu NG'Os kibao wanakuhitaji..., wadhamini tele wanasubiri tu ujue kuandika proposal iliyosimama kwa project inayoeleweka watu wanakuwezesha.... Fasta unabadili life.
Usibabaike na jina la chuo...
Tafuta kozi yenye mashiko kwa ajili ya future yako.
 
Soma telecom
Wanaosema ajira hamna mi siwaelewi.. if you are good at what you do u don't have to worry about ajira!
I have friends wamemaliza both courses Udsm, they were good and wamepata ajira right away!! Ila kama unajua u can't handle it.. find something easier and be good at it too
 
Unajua kwa sasa hivi kusoma kitu kwa kuangalia soko la ajira, mbeleni inaweza mpa taabu sana pale atakapokosa ajira. Mimi nadhani wachague kwa kuona ni kipi anakipenda sana endapo atakisoma atajifunza kwa bidii zote ili atoke akiwa vizuri. Iwe ni labour of love.
Wa2 Wengi Wanakimbilia Hilo Suala La Kusoma Unachokipenda Ila Kwa Nchi kama Ye2 Tz Jambo Kama Hilo Ni Ngumu Sana Kufanikiwa 2nasoma Kwa Kuangalia Uelekeo Wa Maisha ye2 Ya Baadae Ila Vi2 2navyovipenda Vipo kando
 
Nakushauri soma Electrical Eng,kwani ktk soko la ajira kwanza Civ 2 mech 3electrical 4 telecom mwisho computer
 
Kwa Tanzania ya sasa, soma Electrical engineering hutojutia. Si kuanzia kuajiriwa wala kujiajiri. Electrical, Mechanical and Civil are core of all engineering courses. One of the ancient courses.

Hazijabadilika na hazitokuja kubadilika milele. Tofauti na hizi kozi za kuzuka.

Haimaanishi telecom hakuna ajira, ajira telecom zipo teleee. Wala ai za kuomba. Ubaya mmoja uliokuja kuzikumba hii kozi ya telecom, ni kwamba kazi zake nyingi kwa Tanzania yetu zinaweza fanywa na hata ambao hata hawajasomea telecom ama engineering kwa ujumla wake. So imesababisha soko kuwa saturated, na waajiri wanaopenda cheap labour wanatumia huo mwanya.

Kuna circular nimeiona juzi kati kuwa all companies zinazojihusisha na engineering, basi ihakikishe watu wake wana certificate na wapo registered na ERB.

Hili naona kama likikomaliwa litarudisha hii kozi katika hadhi yake ilopotea.
 
Wadogo zetu mnatuangusha, hadi unamaliza kidato cha sita hujajua unataka kusoma nini? Hivi unavyobaki dilema hata kazini utabaki dilema.

baadae ndo wanakuja kua kama bwana yule prof
 
Wadogo zetu mnatuangusha, hadi unamaliza kidato cha sita hujajua unataka kusoma nini? Hivi unavyobaki dilema hata kazini utabaki dilema.
Ata kama unapanga malengo fulan ila matokeo yanaweza yakaja vengne au hata TCU wakakupangia cz watakao wao
 
Back
Top Bottom