Recent content by Diannna

  1. Diannna

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa waliowahi kufunga ndoa ya Serikali

    Nenda Na mwenzi wako Ofisi ya Mkuu wa wilaya ambayo mnategemea kufunga ndoa yenu mkifika pale mtapewa maelekezo yote Na msajiri wa ndoa.
  2. Diannna

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kwa mwanamke wa kikristo kuolewa mara mbili pasipo mumewe kufariki?

    Kama taraka imetolewa anaweza kufunga tena ndoa ya kiserikali (Bomani)
  3. Diannna

    JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na tabia zake huyu kaka

    Pole sana kwa changamoto za mahusiano, Fanya uchaguzi kwanza kabla ya kuchukua maamuz ya kuachana Na huyu mtu wako, uctumie hasira, hasira hasara utaachana Na wangapi?
  4. Diannna

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanaume ananichanganya sana

    Labda ana familia tayar nyingine, sasa mshahara wote huwo anakula Peke yake mchunguze mmmh, to cyo Kwa uchoyo huwo, hapo ndoa hamna posa na mahali ataweza kweli kutoa maana bahili sana,
  5. Diannna

    JamiiForums Tanzania Ufupi wangu na kitambi ni changamoto kubwa sana

    Pole
  6. Diannna

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje maji yatoke sikioni?

    Pole ruka ruka haraf inamisha pemben ckio lenye maji yatatoka yote.
  7. Diannna

    JamiiForums Tanzania Jina la mtoto wa kike linaloanza na herufi "G"

    Graveline, Girlymuwanji Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Diannna

    JamiiForums Tanzania Je, Mjamzito kupata hedhi kuna tatizo?

    Niliwah kuckia hii ki2 kumbe ni kwel, Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Diannna

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya ajabu kweli

    Ni shidaaa!!! Hahaha.
  10. Diannna

    JamiiForums Tanzania Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

    Kama una mpenzi inatikiwa mpate tiba wote wawili, inawezekana hizo dawa ulizowahi kutumia zimekuponya ila unapata maambukizo mapya mfano kutoka kwa mp.
  11. Diannna

    JamiiForums Tanzania ANGALIZO: Mapicha ya Ushoga kuweni nayo makini(Adobe photo shop)

    Hadi mtu anaanze kujitetea ni picha ya kutengeneza tayar unakuwa umeshadhalilika, unaweza hata ukafa kwa pressure.
  12. Diannna

    JamiiForums Tanzania Ina maana hata kukiss hujui?

    Hahaha!!
  13. Diannna

    JamiiForums Tanzania Nitakuchukia for the rest of my life

    Shukuru Mungu kwa kila jambo huwez juu kitu gani? Umeepushiwa, msamehe bure Omba Mungu na wewe pia utapata wako kwa imani, Pole sana kaka.
  14. Diannna

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu kuhusu Chuo cha St. Joseph

    Duuuh!!! Mko vzur Jf.
  15. Diannna

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimemtia mke wa mtu mimba

    Mbona hapa hukuna shida yoyote, c mnapendana bwana kaa tu pamoja mlee mtoto wenu, Hongera sana.
Back
Top Bottom