Ushauri: Nimemtia mke wa mtu mimba

Ushauri: Nimemtia mke wa mtu mimba

Muache azae mana alidhamiria. Mke wa mtu anaanzaje kubeba mimba ikiwa mbinu zote za kuzuia anazo?

Asikutishie Kuishi, kwako hawezi, anakuzingua tu uone kakufiiiia..
 
Kama umekula mke wa mtu hadi ukampa mimba jua na mkeo analiwa na unalea watoto wa watu pia.

[HASHTAG]#mla[/HASHTAG] nae huliwa
 
Habari JF,

Naombeni ushauri jamani, hapa nilipo nimempa mke wa mtu mimba, na mimi mwenyewe ninafamilia yangu.

Amesema nikiikana atakuja kwangu aishi, sasa hapa nashindwa nifanyeje, nimemwambia atoe hataki.

Naombeni ushauri jamani.

Ahsateni.
KWA NINI ATOE N AKWA NINI UKANE...ACHA UBOYA MIMBA YAKO ALEE TU NA HUNA KUKWEPA HATA KAMA UN AFAMILIA.....
 
Mbona hapa hukuna shida yoyote, c mnapendana bwana kaa tu pamoja mlee mtoto wenu, Hongera sana.
 
Thread kama hizi zimezidi hapa JF. Jitu linajichapia huko, halafu mimba ikishika linakuja hapa kuomba ushauri, mbona hamwombi kabla ya game?

Ndio mjue kikazi kimejaa ujinga na ngono daima. Soma tread nyingi majungu, uongo na ngono. Kwa ufupi kuharibikiwa kuko mlangoni kwa wengi. Sio akili, nashindwa pata jibu hii mitaala iliyobadilishwa inasaidiaje hiki kizazi. Anyway Kuchagua ni Kupanga pia.
 
Back
Top Bottom