Recent content by Diana Fares

  1. Diana Fares

    JamiiForums Tanzania Baghdad kweka kubadilika kuwa mwembamba

    Duh kakonda hadi sura kama sio yeye vile
  2. Diana Fares

    JamiiForums Tanzania Mita ngapi za kitambaa zilitumika???

    Lol jamanii ka uncle wangu vile
  3. Diana Fares

    JamiiForums Tanzania Dr.Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA

    I appreciate Dr kitila he is brilliant man, tanzania kuwa na demokrasia iliyokomaa inahitaji viongozi wenye maslahi yenye kukidhi maendeleo ya nchi na wananchi kwa ujumla na sio kuchumia matumbo yao binafsi
  4. Diana Fares

    JamiiForums Tanzania Tunauza Nguo za Akina Mama Toka Marekani kwa Bei ya Jumla

    Hahahahaaahaaa.mmmmh jaman nguo ya mtoto wapi hyo au upo out of fassion
  5. Diana Fares

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya Watanzania wanampenda Lowassa pamoja na Kashfa zake?

    Lowasa lazima akalie kiti cha urais 2015...God bless him
  6. Diana Fares

    JamiiForums Tanzania Alikiba juu

    Haa ha ha haaa..napita tuu,jf uwa inanipa raha sana ninapokua katika sorrow period
  7. Diana Fares

    JamiiForums Tanzania Channel 10 usiku; Mhe Membe kuongelea ripoti na tathmini ya Uchaguzi wa Zimbabwe

    Afu unaonekana sio mtz ww,jk ajaingilia mgogoro wa drc na rwanda yy alitoa ushauri tu sasa sijui ww umeng'ang'ana vp na huo uzi wako,ww na pk wote wagonjwa wa damu
  8. Diana Fares

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi viagra ini boost?

    haa ha ha ha haa.! Hebu niondoke under 18 mie hapa hapanifai
  9. Diana Fares

    JamiiForums Tanzania Kuanguka chooni/bafuni na kufa, kuna uhusiano gani?

    Mmh mzizi mkavu umenitisha kwa kweli lol.. Mungu nilinde na maajabu ya dunia
  10. Diana Fares

    JamiiForums Tanzania Natamani kufuga nyoka mwenzenu!

    Funduku kwa lugha yetu ni joka kuuubwa..labda wewe utakuwa joka kuu
  11. Diana Fares

    JamiiForums Tanzania Upi ni ukweli juu ya penzi hili?

    Kimbia true love never lie
  12. Diana Fares

    JamiiForums Tanzania Tbc ya tido mhando vs tbc ya mshana vitu viwili tofauti...

    Tbc siku hizi ni majanga yan haina hata mvuto, wao bado wanaaply analogia service
  13. Diana Fares

    JamiiForums Tanzania Vijana gomeni kwenda JKT haina tija kwa Taifa.

    Unaonekana unamatatizo katika kufikiri jkt ina maslahi sana kwa vijana wetu hususani kujenga uzalendo unaoelekea kupotea siku za usoni ..goma wewe na ndugu zako ili uwe wa mfano
Back
Top Bottom