Natamani kufuga nyoka mwenzenu!

Natamani kufuga nyoka mwenzenu!

navoogopa nyoka kuanzia leo tusijuane
 
Jamani wana jf naomba ushauri, sijui kama ninamapungufu au vipi... maana katika siku za hivi karibuni nimeingiwa na hali ya kutamani kufuga nyoka hapa nyumbani kwangu, sasa sijui kama ni tatizo au vipi mwenzenu mpaka napata hisia za kuunga urafiki na wadudu hawa hatari.
Ni kawaida Mkuu, huna tatizo lolote, hoby zinatofautiana.
 
Kuna watu wameachiwa mikoba na mababu zao...sasa ndio wakati mikoba inatafuta namna ya kujionesha...
We endelea tu najua baada ya muda si mrefu utakuwa kigagula mashuhuri huko uishipo...
 
Kuna watu wameachiwa mikoba na mababu zao...sasa ndio wakati mikoba inatafuta namna ya kujionesha...
We endelea tu najua baada ya muda si mrefu utakuwa kigagula mashuhuri huko uishipo...

teh teh teh huyu tayar ni gagula anataka tu ku activate zaid huo ugagula wake!
 
Mbona mnamkandia hivyo jamani, kwani nyoka ana shida gani? Hatarii? Mbona wengine wanafuga chui na wako pouwa....mwingine anasema kuwa polepole atafuga majini...nyoka na majini wana uhusiano gani......mwana we kanunu kobra ujifugie sema tu wakufundishe jinsi ya kumng'oa meno usije sahau
 
hivi nyoka ana uzuri gani mpka mtu atake kumfuga kweli dunia ina mambo!!
 
LATEST HIYO- Police in eastern Canada have launched a criminal investigation after a python apparently escaped from a pet shop and killed two children by asphyxiating them in their sleep.
The two boys - named locally as Noah Barthe, five, and his brother Connor, seven - were at a sleepover at their best friend's flat in the town of Campbellton when it is believed they were attacked by the snake.
It is understood the animal had escaped from the Reptile Ocean pet shop, which specialises in exotic pets and is run by family friend Jean-Claude Savoie, located on the ground floor of the building.
The boys were sleeping in the living room of the residence on Pleasant Street when they were reportedly attacked by the snake early on Monday morning. Police were called to the scene at 6.30am local time
 
[TABLE="width: 636"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 54, bgcolor: transparent"]Mwanzo[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]3[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]14[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Bwana Mungu akamwambia nyoka, Kwa sababu umeyafanya hayo, umelaaniwa wewe kuliko wanyama wote, na kuliko hayawani wote walioko mwituni; kwa tumbo utakwenda, na mavumbi utakula siku zote za maisha yako; [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl67, bgcolor: transparent"]Mwanzo[/TD]
[TD="class: xl65, bgcolor: transparent"]3[/TD]
[TD="class: xl65, bgcolor: transparent"]15[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]nami nitaweka uadui kati yako na huyo mwanamke, na kati ya uzao wako na uzao wake; huo utakuponda kichwa, na wewe utamponda kisigino. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
wala hauna upungufu wa aina yoyote hiyo ni hobby yako tu kama mtu anafuga chui, paka, mende, sisimizi na senene wa bukoba iweje wewe usifuge huyu nyoka.jpg nitakuletea yuko nyumbani kwangu kwani ninao wengi kama utamhitaji wewe nipm tu
Jamani wana jf naomba ushauri, sijui kama ninamapungufu au vipi... maana katika siku za hivi karibuni nimeingiwa na hali ya kutamani kufuga nyoka hapa nyumbani kwangu, sasa sijui kama ni tatizo au vipi mwenzenu mpaka napata hisia za kuunga urafiki na wadudu hawa hatari.
 
Back
Top Bottom