Recent content by dezko

  1. dezko

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje? nashindwa kujielewa aisee

    Duuhh hii imekaa kikuda
  2. dezko

    JamiiForums Tanzania Wanaume mtumie akili sasa, tunazingua

    Duuh hawa si ndo wanahela
  3. dezko

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mchele kutoa Tunduma kupeleka Zambia

    Kaka ila biashara ya Michele popote si mtu anaweza kufanya ?
  4. dezko

    JamiiForums Tanzania Sikuabliani na Magufuli kuhusu somo la Historia. Kama ni Uzalendo, watoto watajifunza kwenye somo la URAIA

    Naona ni muhimu watoto wetu kujua historia kwani hawa mabeberu hawataki wajue madhambi waliyo yafanya kwa vizazi vilivyopita, na ni muhimu kuenzi yaliyo pita ili kujua wapi tunaelekea.
  5. dezko

    JamiiForums Tanzania Serikali yafuta shughuli za Nanenane mwaka 2021

    Na holiday nayo imefutwa au??[emoji115]
  6. dezko

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka sasa Mifugo itozwe kodi. Msukuma au Mmasai anamiliki zaidi ya ng’ombe 1,000 na hachangii chochote! It is not fair

    Kwelii kabisaaaa Hawa jamaa tupo nao hukuu wana makundi makubwa ya mifugo na halipi chochoteee
  7. dezko

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwenza (Mume)

    Upo serious???
  8. dezko

    JamiiForums Tanzania Shule Binafsi za Sekondari zipo hoi

    Siyo kwelii, we unataka mtoto wako wakimaliza hiyo shule waendee English course tenaa??sisi watoto wetu tunataka wanyosheee moja kwa moja.
  9. dezko

    JamiiForums Tanzania WHO: Aina mpya ya Kirusi cha Corona imethibitishwa kwenye mataifa manne barani Afrika

    Duuhh tunafanyaje hapa Arusha wakenya wanavyo ingia na kutoka?? Mungu atupiganie.
  10. dezko

    JamiiForums Tanzania Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

    Ndivyo ilivyoo
  11. dezko

    JamiiForums Tanzania Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

    Duuhh kweli we need to take precautions,
  12. dezko

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tujiandae na Utawala wa Joe Biden (Democrat)

    Huyu jamaa kigeugeu geu sanaa ila ameogopa kuendeleza ndo maana hata siku ya kuapishwa biden hakuwepo.
  13. dezko

    JamiiForums Tanzania Kwanini wenzetu Sweden wanapenda kulipa kodi?

    Daaahh ila hata hapa tz inawezekana kua hivii.
  14. dezko

    JamiiForums Tanzania Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

    This is a challenge to you JF - hasa mnaopata less than 5m per month - think twice and join me. Kumbuka shairi la darasa la nne - Kama mkitaka mali mtayapata shambani - huu ni wosia. thanks brother kwahii kituu nilikuwa nawaza ntaanzajeee kulimaaa nimepata mwangaa sasa ,.
  15. dezko

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuiangusha CCM na kuwa chama cha upinzani 2020

    Hapoo kazii ipoo
Back
Top Bottom