Recent content by Dewiny

  1. D

    Polisi Mwanza wazuia kufanyika kwa mkutano wa M4C

    "changes are inevitable" whether they agree or not! we are ready to be killed bt time is coming they will regret, it does not matter wether their brains are working or not! let's unite forever we will win!
  2. D

    Dr. Slaa & Lema waiangamiza CCM bila huruma

    M4C songa mbele waambieni hata wakibana Bungeni kazi ipo palepale tu 2015.!
  3. D

    Kama bunge likishindwa njia mbadala ni hii hapa!

    hakika umenena hatuwezi kuikomboa nchi kwa maneno tunaitaji utaratibu mi nipo nawe!
  4. D

    Diwani wa Lugata - Sengerema ajiunga Chadema

    watajuta kumtosa Lema bungeni maana wanalia ni bora angebaki Bungeni huyo ndo Lema mwenye uwezo mkubwa wa kushawishi na bado.peeeeeepooooooos
  5. D

    Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Pinda?

    kudadadeki Sisiem oyee...wote oyee .mh kweli kumbe yale aliyosema Arumeru anajiumbua mwenyewe hapa M4C TU kwenda mbele CDM hakuna kulala mpaka kieleweke!
  6. D

    Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Pinda?

    hapo Mh.Zitto kanena wabunge tuunge mkono jaman hii ni nchi yetu sote je mtafurahi siku moja mkiona watoto wa walalahoi tunafuata rasilimali zetu mnazoiba majumbani kwenu!
  7. D

    Live from Brazil: Kikwete Salutes Maximo

    kweli tutafika maana tulichagua sura sasa tutacheza ngoma mpaka tuipate mpka afike 2015 atakuwa ametembea nusu dunia maana hata akialikwa birthday ataenda!
  8. D

    Diwani wa Monduli na M/kiti wa UVCCM Monduli ndani ya CHADEMA!

    Du ngoja tusubiri maana M4C noma na hapo LEMA hajamaliza nchi nzima kutema sumu Peeeeeeeepooooooos
  9. D

    Diwani mwingine (CCM Mwanza) ahamia CHADEMA

    M4C kwenda mbele mpaka ifike 2015 kitakuwa kimeeleweka karibu sana Diwani kwa wapambanaji tutafika na tutaikomboa inchi toka kwa utawla wa dhuluma!
  10. D

    Mbowe atangaza maandamano nchi nzima

    kaka funguka tuwe tayari huku Mwanza ametangaza kisa cha maandamano nini tujuze vizuri?
  11. D

    Kwanini Arusha imekuwa ni ngome ya CHADEMA?

    ni kweli wakubwa kwa yeyote mwenye uwezo wa kufikilia na kuchambua maigizo ya ccm dhidi ya wananchi wake hawezi kuipa kula sisi huku mwanza bana raha tupu huku Wenje huku Kiwia hakunaga hata wakija kwa mapanga na malungu CDM daima. ni baadhi ya maeneo Tz bado wameshindwa kufikiria hatima yao na...
  12. D

    CHADEMA nyimbo zao tu zinatosha

    tudokezeni mliopo huko nini kinajili huko Dom town!
  13. D

    CCM waingia mitini, kesi ya Lissu yasimama

    siku zote njia ya muongo ni fupi na ni dhahiri kwa hali hiyo watashindwa na Kamanda Lisu ataendelea kusimama imara MUNGU IBARIKI TZ.MUNGU IBARIKI CDM na Pia isamehe Sisiem.we are at the point where no one can hold us from going on forward.Piiiiiiiiiipoooooosssssss together we will!
  14. D

    Barua kwa Dr. W. Slaa

    kweli Luteni umenena kama mhimili tuliouamini umetuangusha hatuna aja ya kurudi huko ni walewale tu Lema wetu zunguka nchi kumwaga sumu na kuongeza na kuimalisha matawi tayari kwa 2015 tuangalie mtu makini asimame tutashinda mapambano haya yaliyoanza .kwa upande mwingne naona nuru mbele yetu...
  15. D

    Kauli ya Nape Juu ya Arusha na Tafsiri Yangu

    CCM have set aside waiting for the supu while there is an empty port on the fire!Nape soma alama za nyakati kama kukimbia huko jiandae najua ulichosema kinatofautiana na kilicho moyoni mwako kip it time will tell! Arusha do't let the evils take back the City kumtoa LEMA mmempa nguvu na wakati...
Back
Top Bottom