Na nyie nanyi mmezidi kila siku lawama kwa Kiwete oooohoooo! Mara kaenda huku mara kaenda huku hivi hata kama wewe haufanyi kazi hayo maendeleo unayoyataka utayatoa wapi? Kikwetu analaumiwa mno mbona Mkapa nae alikuwa anasafiri sana na hakulalamikiwa mno? Tena yeye mda wote ilikuwa safari kwa kina Tony Blair na George Bush ila watu walikuwa wanaona sawa tu! Akisafiri ****** shida acheni hizo HINDA zenu lawama bila ushauri ni kelele tu! Kuzalisha chakula hamzalishi kutwa mko JamiiForum nanyi mnataka maendeleo mtayapata wapi?
Acheni fitna na majungu kwani yeye ameenda kutembea kule au amekwenda kikazi lazma mtofautishe ziara ya kikazi na binafsi. Msikalie majungu tu kumsema vibaya Rais wa nchi huko ni kukosa heshma tena inawezekana hata wazazi wenu hamna heshma nao kama mnafikia kusema maneno hayo sidhani kama mnawaheshimu wazazi wenu tena inawezekana wengi wenu mkawa watoto wa nje ya ndoa. Safari yake ni mualiko wa nchi zinazounga mkono Open government duniani sasa yeye kwenda kama mualikwa kuna kasoro gani? au tuelezeni basi kama mna ajenda za siri mbona amealikwa vatican na papa hamkutoa kasoro zozote ? Pia kuhusu huyo maximo yeye mwenyewe ndio amemtembelea rais hotel kumpa salam mlitaka afukuze asionge nae hebu jaribu kidogo kutumia muda wenu vzuri jamani.
Amesahau kumwambia Maximo: licha ya kuporomoka katika soka duniani, vilevile mfumuko wa bei umekamata kasi na bado tupo wa mwisho kiuchumi duniani. Labda Maximo angempa ushauri pia.
hicho ndicho alichofuata Brazil??