Diwani wa Monduli na M/kiti wa UVCCM Monduli ndani ya CHADEMA!

Diwani wa Monduli na M/kiti wa Uvccm Monduli Julius Kalanga ametangaza rasmi kumfuata rafiki yake Nillya Chadema. Kwenye FB yake aliulizwa na mtu fulani kama atamfuata rafiki yake Millya Chadema au la yeye akajibu, siwezi kumwacha rafiki yangu aende mwenyewe huko. Itakuwa pigo jingine kubwa kwa CCM kwani jamaa ni kichwa yaani jembe la nguvu na ana ufuasi mkubwa sana Monduli. Yeye atachukua Monduli, Millya Sumanjiro, jamani Rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

Nani kakwambia akija yeye atapewa Monduli na Millya Simanjiro?Chadema ina watu wengi wanaokubalika
kwanza hawa wapewe kazi moja tu ya kuwanadi wagombea wa sehemu husika na si vinginevyo.
 
Mkuu Maitario huwa naamini sana source zako, kwa hili ungeongezea nyama kidogo ungenifanya niwahi Lenana Resort nianze kuzichanganya mapemaaaaaaaaaa!!!!!!!!

Well, bado naamini kuna wabunge nao watajivua na kuungana na wanaharakati wa ukombozi wa Tanzania
 
Kazi kweli kweli nakwambia 2015 siyooo mchezoooooooooo, ila CHADEMA NI KUWA MAKINI SANA, SANA NA KUJIPANGA VIZURII ZAIDI USHINDI UNANUKIA, kifa cha CCM hichooooooooo kinanukia...

Alunta Kontinuwaaaaaaaaa CHADEMA...
 
Na mwanza diwani mmoja wa sengerema kupitia ccm kaachia yupo na bw g.lema......tazama star tv habari
 
Nasikia ****** naye anataka kujiunga na m4c,ila anashindwa kwakuwa ni prezida...! Kweli kazi wanayo magamba 2015
 
Diwani wa Monduli na M/kiti wa Uvccm Monduli Julius Kalanga ametangaza rasmi kumfuata rafiki yake Nillya Chadema. Kwenye FB yake aliulizwa na mtu fulani kama atamfuata rafiki yake Millya Chadema au la yeye akajibu, siwezi kumwacha rafiki yangu aende mwenyewe huko. Itakuwa pigo jingine kubwa kwa CCM kwani jamaa ni kichwa yaani jembe la nguvu na ana ufuasi mkubwa sana Monduli. Yeye atachukua Monduli, Millya Sumanjiro, jamani Rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Asijekuwa mpima upepo. Kwa uovu tunaofanyiwa na CCM, nashindwa kuamini kuwa huko kunawezakuwa na mtu wa kuitwa kichwa au jembe. Huwezi kumtumikia shetani ukajiita mchaMungu.
 
Kuna bwana mmoja ametoa hoja nzito Tz Daima( M/kiti wa chadema Arusha) kwamba tatizo la rushwa ni mfumo wa CCM si watu binafsi. Ukiuvunja mfumo hata Edward Lowassa anaweza kufanya maajabu. Ni sawa na Arsenal haichukui ubingwa lakini haina maana kuwa haina wachezaji wazuri, tatizo ni mfumo na uongozi wao. Lowassa akija Chadema utampenda
 
uzushi mtupu. kuhama anaweza lakini kuandika fb sio kwamba amehama. wengi wanaccm wanatamani kuwa chadema lakini kutokana na ugumu wa gamba wanashindwa. Mungu amtie ujasili wa kutangaza hadharani. Itakua habari njema.
 
Diwani wa Monduli na M/kiti wa Uvccm Monduli Julius Kalanga ametangaza rasmi kumfuata rafiki yake Nillya Chadema. Kwenye FB yake aliulizwa na mtu fulani kama atamfuata rafiki yake Millya Chadema au la yeye akajibu, siwezi kumwacha rafiki yangu aende mwenyewe huko. Itakuwa pigo jingine kubwa kwa CCM kwani jamaa ni kichwa yaani jembe la nguvu na ana ufuasi mkubwa sana Monduli. Yeye atachukua Monduli, Millya Sumanjiro, jamani Rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Ina maanisha nini kuwa bado hajavua gamba kuja huku au ana mpango huo siku zijazo?
 
Diwani wa Monduli na M/kiti wa Uvccm Monduli Julius Kalanga ametangaza rasmi kumfuata rafiki yake Nillya Chadema. Kwenye FB yake aliulizwa na mtu fulani kama atamfuata rafiki yake Millya Chadema au la yeye akajibu, siwezi kumwacha rafiki yangu aende mwenyewe huko. Itakuwa pigo jingine kubwa kwa CCM kwani jamaa ni kichwa yaani jembe la nguvu na ana ufuasi mkubwa sana Monduli. Yeye atachukua Monduli, Millya Sumanjiro, jamani Rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

kamanda, Nasari alitabiri kuwa tutaanza na MUNGU tutamaliza na MUNGU, na jina la bwana litukuzwe AMEN.
 
Kuna bwana mmoja ametoa hoja nzito Tz Daima( M/kiti wa chadema Arusha) kwamba tatizo la rushwa ni mfumo wa CCM si watu binafsi. Ukiuvunja mfumo hata Edward Lowassa anaweza kufanya maajabu. Ni sawa na Arsenal haichukui ubingwa lakini haina maana kuwa haina wachezaji wazuri, tatizo ni mfumo na uongozi wao. Lowassa akija Chadema utampenda
Not Lowasa the beast I know!
 
Du ngoja tusubiri maana M4C noma na hapo LEMA hajamaliza nchi nzima kutema sumu Peeeeeeeepooooooos
 
Back
Top Bottom