Ukiwa Huna Pesa Then Ukaumwa Usiku Andika Maumivu Usipokuwa Mkali Unaweza Poteza Maisha Huku Unajiona...
Nakumbuka Mwezi Wa Tano Rafiki Yangu Alikuwa Club Moja Maarufu Sana Hapo Sinza, Akipata Moja Mbili Tatu.Kwa Nje Kuna Bar Sasa Yeye Alikuwa Na Wenzake Wameketi Hapo Nje Wanapiga Stori Mbili...
Katika Kila Movie Unayoangalia Lazima Kuwe Na Character Ambaye Audience Ata Mfollow....Mfano Sehemu Akipitia Magumu Lazima Upite Nae Sometimes Akilia Unajikuta Hata Ww Machozi Yana kulengalenga.. Money Heist Berlin Ndo Alikuwa My Favorite Character The Next One N Professor Hawa Watu Ndo...
[emoji3] [emoji3]....Unaweza Ukawa Sahihi Kwa Uliwazalo Sikupingi Ndugu...Hii Forum Ni Kubwa Zaidi Ya Unavyofikiri ( Narrow Way To Escape) Subiri MREJESHO.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.