Mbunge wa Kaunti ya Mombasa akamatwa kwa kuhusika na dawa za kulevya

miss zomboko

miss zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Messages
2,105
Points
2,000
miss zomboko

miss zomboko

JF-Expert Member
Joined May 18, 2014
2,105 2,000

Mombasa. Jeshi la Polisi nchini Kenya linamshikilia mbunge wa Kaunti ya Mombasa, Ahmed Salama kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya.

Mwakilishi huyo wa Kata ya Bofu alikamatwa jana Jumatatu Agosti 13 katika eneo la Likoni, Mombasa kufuatia operesheni inayolenga wanasiasa na wafanyabiashara wanaotuhumiwa kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya.

Inadaiwa kuwa mbunge huyo baada kukamwatwa maafisa wa polisi waifanya upekuzi nyumbani kwake na baadaye alichukuliwa mpaka makao makuu ya polisi.

Kwa mujibu wa gazeti la Dailynation la Kenya, msako dhidi ya wafanyabiashara wa dawa za kulevya umeanza siku ya Jumapili katika eneo la Pwani.

Taarifa ya jeshi hilo kwa vyombo vya habari ilisema mbunge huyo alikamatwa siku moja baada ya Katibu wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Ndani, Fred Matiang'i kufanya mkutano na wanasiasa na timu ya usalama.

Taarifa hiyo ilisema katika operesheni hiyo jumla ya watu 18 walikamatwa wakihusika kufanya biashara hiyo haramu.

Kamanda wa Polisi wa Mombasa, Johnston Ipara alisema mwanasiasa huyo alikamatwa kufuatia ripoti kwamba anahusika na biashara ya dawa za kulevya.

Afisa Mkuu wa Upelelezi, Shadrack Mumo ambaye ameunganishwa kwa kuwekwa kizingitini Kituo Kikuu cha Polisi, amekamatwa baada ya kudaiwa kuachilia kwa usafirishaji wa dawa za kulevya na mtuhumiwa kutoka kituoni siku ya Jumapili.

Alisema uwepo wa madawa umesababishwa na kuongezeka kwa makundi ya majambazi ambayo yamekuwa ni tishio kwa wakazi.

Dk Matiang'i alionya kuwa kushughulika na wafanyabiashara wa dawa za kulevya itakuwa ni safari yenye machungu.

"Sina shaka kama itakuwa chungu, lakini tumejiandaa kuianza safari hii," CS alisema.
 
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
14,190
Points
2,000
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
14,190 2,000
Mara nyingi Drug lords bila kuwawekea madawa huwakamati. Wengi wao hawakai wala hawatumii madawa
Utawakamata tu, kwa kutumia foot soldiers wao, akikamatwa kidagaa mmoja anaahidiwa kutokufungwa gerezani ilmradi asaidie kumbamiza papa mkubwa. Hivyo ngoma inachezwa japo itachukua muda lakini kimya kimya wanajongea hadi wanamtia papa ndani.
Japo dagaa atakua anahatarisha maisha yake kishenzi maana akishtukiwa, sio kwa mapanga atakayochezea, ikumbukwe hata mapolisi na wapelelezi kunao wanapokea vibahasha kutoka kwa papa, hivyo kidagaa kushtukiwa ni virahisi sana.
 
A

Arovera

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Messages
2,611
Points
2,000
A

Arovera

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2013
2,611 2,000

Sisi mapambano yanaendelea vizuri , Kenya na Tanzania, Na Zanzibar wauza madawa ya kulevya kutoka nchi nyingi duniani na wenyeji wa nchi zetu walifanya haya maeneo kama vichochoro sasa ushirikiano mkubwa wa taarifa kwa vyombo vyetu utafanya tuwe salama
 
A

Arovera

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Messages
2,611
Points
2,000
A

Arovera

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2013
2,611 2,000
Naamini Vyombo vya Kenya vitashinda hii vita japo ni ngumu
 
upendodaima

upendodaima

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2013
Messages
3,513
Points
2,000
upendodaima

upendodaima

JF-Expert Member
Joined May 23, 2013
3,513 2,000
Yale yale ya Bashite kuchagua yupi azimwe yupi aendelee na mchezo,yaani the Joho's (Hassan na Abubakar) wanakosekana vipi?
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
45,401
Points
2,000
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
45,401 2,000
i Mnawakamata na ushahidi au mnawakamata tu ili baadae muwaachie kwa kukosa ushahidi?
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
116,251
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
116,251 2,000
Suspected drug dealers arrested in Kenya
2019-08-13 13:28:55After a three-hour search, police are still holed up in the rooms searching for evidence of drug links of the tycoon.

• Detectives searched interiors of Toyota V8 KCB 992Z, Toyota Noah KCN 577E and Mercedes Benz S350 KBY 786A luxury cars at the parking bay.

Police have found Ali Punjanis wife and other two foreigners in the tycoons maisonette in Nyali on Tuesday.

The three Karki Sushmija, 24, Shiva Bashyal, 30 and Maloj Rom were found inside the sitting room after police failed to access the house on Monday as the house remained locked.

Sushmija is Punjanis third wife from Nepal, Bashyal is her cousin while Rom is Bashyals Indian friend.

Police are analysing travel documents of the three who were found in the living room.

"On Monday, we could not access this house because we were told the owners were not there. Now we have found them inside. Immediately they become our suspects," Mombasa Police commander Johnstone Ipara told reporters at the scene.

After a three-hour search, police are still holed up in the rooms searching for evidence of drug links of the tycoon who has in the past funded campaigns of prominent politicians in the country.Detectives searched interiors of Toyota V8 KCB 992Z, Toyota Noah KCN 577E and Mercedes Benz S350 KBY 786A luxury cars at the parking bay.

Two drug-sniffer dogs were also at the house searching through kitchen cabinets, fridges, under carpets and sofa sets in the six-room house with exits facing the Indian Ocean.

The Star has learnt that Punjani, an ally of Akasha family who built an extensive drugs distribution empire in East Africa is in India for treatment after he suffered a heart attack last month.

"An angiogram done showed significant CAD with blocked coronary eateries. This is not amenable with angioplasty and he has been to undergo coronary artery bypass grafting urgently," reads a medical report from The Heart, Lung Diagnostic Center based in Mombasa.
 
eliakeem

eliakeem

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Messages
8,371
Points
2,000
eliakeem

eliakeem

JF-Expert Member
Joined May 29, 2009
8,371 2,000
Utawakamata tu, kwa kutumia foot soldiers wao, akikamatwa kidagaa mmoja anaahidiwa kutokufungwa gerezani ilmradi asaidie kumbamiza papa mkubwa. Hivyo ngoma inachezwa japo itachukua muda lakini kimya kimya wanajongea hadi wanamtia papa ndani.
Japo dagaa atakua anahatarisha maisha yake kishenzi maana akishtukiwa, sio kwa mapanga atakayochezea, ikumbukwe hata mapolisi na wapelelezi kunao wanapokea vibahasha kutoka kwa papa, hivyo kidagaa kushtukiwa ni virahisi sana.
Wakigundua unawauza, umekwisha, maana network yao, sometimes inahusisha high profile security commanders.
Uaminifu na uadilifu kwa vyombo vya ulinzi na usalama ni muhimu sana.
 
Gamal Sankara

Gamal Sankara

Senior Member
Joined
Jun 27, 2019
Messages
142
Points
250
Gamal Sankara

Gamal Sankara

Senior Member
Joined Jun 27, 2019
142 250
Ukimkamata punjani utakuwa umemkamata abu & ali hassan joho, balalas, jaffers na tss.

Hawa walanguzi wa madawa ya kulevya wanajulikana Kenya na Tanzania shida ni wengi wao ni wanamaswahiba kwenye ofisi kubwa nchi mwao.

Waziri matiangi endelea kufany kazi nzuri mimi kama mkazi wa Mombasa nina kuunga mkono kwa haya miradi yako.
 
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
14,190
Points
2,000
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
14,190 2,000
Ukimkamata punjani utakuwa umemkamata abu & ali hassan joho, balalas, jaffers na tss.

Hawa walanguzi wa madawa ya kulevya wanajulikana Kenya na Tanzania shida ni wengi wao ni wanamaswahiba kwenye ofisi kubwa nchi mwao.

Waziri matiangi endelea kufany kazi nzuri mimi kama mkazi wa Mombasa nina kuunga mkono kwa haya miradi yako.
Sio rahisi kihivyo, huyo Joho hata Marekani alialikwa kiasi cha kuonyesha hamna mwenye data zozote dhidi yake.
 
Gamal Sankara

Gamal Sankara

Senior Member
Joined
Jun 27, 2019
Messages
142
Points
250
Gamal Sankara

Gamal Sankara

Senior Member
Joined Jun 27, 2019
142 250
Sio rahisi kihivyo, huyo Joho hata Marekani alialikwa kiasi cha kuonyesha hamna mwenye data zozote dhidi yake.
Ndio, lakini saa hii hakuna ushahidi ya kwamba majohos walifanya hiyo biashara ya mihadarati lakini mitaa huongea.
 
KeyserSoze

KeyserSoze

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Messages
2,534
Points
2,000
KeyserSoze

KeyserSoze

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2014
2,534 2,000
Watamnyoosha
Keshahukumiwa ?, Hawa jamaa mpaka siku ametiwa pingu na kuwekwa ndani ndio unajua ameshikwa..., na wengine anaweza akawa ndani ila bado anaendeleza biashara yake kama kawaida..., dawa ya hawa jamaa ni full community kuwatenga na kuwaona hawafai unless otherwise ni kama magugu ukiyavyeka bila kuyatoa na mizizi they always come back strong...
 
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
14,190
Points
2,000
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
14,190 2,000
Ndio, lakini saa hii hakuna ushahidi ya kwamba majohos walifanya hiyo biashara ya mihadarati lakini mitaa huongea.
Kipindi hicho watu tuliongea sana dhdi ya Joho, kila mtu aliamini lazima awe anahusika kwa namna moja au nyingine, lakini ile tu alialikwa Marekani bila kuzinguliwa tukaufyata sote na kumkubali, maana Marekani wako makini sana kwenye mambo kama haya, hawakualiki kwao hivi hivi tu.
 
Waterloo

Waterloo

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Messages
16,808
Points
2,000
Waterloo

Waterloo

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2010
16,808 2,000
Kipindi hicho watu tuliongea sana dhdi ya Joho, kila mtu aliamini lazima awe anahusika kwa namna moja au nyingine, lakini ile tu alialikwa Marekani bila kuzinguliwa tukaufyata sote na kumkubali, maana Marekani wako makini sana kwenye mambo kama haya, hawakualiki kwao hivi hivi tu.
Marekanj kutojua siyo sababu.watu wa huko Mombasa kama wana msaspekt nae aunganishwe tu. Mi na mashaka sana na joho maisha yake ya anasa aanayoishi yananifanya nimshtukie.
 
A

Arovera

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Messages
2,611
Points
2,000
A

Arovera

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2013
2,611 2,000
Kipindi hicho watu tuliongea sana dhdi ya Joho, kila mtu aliamini lazima awe anahusika kwa namna moja au nyingine, lakini ile tu alialikwa Marekani bila kuzinguliwa tukaufyata sote na kumkubali, maana Marekani wako makini sana kwenye mambo kama haya, hawakualiki kwao hivi hivi tu.
Joho clearing and forwading ndio vitu zilimpa pesa mapema kabla wengi hawajastuka plus na importation ya magari, akaja kujiimarisha kwenye makampuni yake kupata tenda kede kede za serikali hapo watu watapiga kelele weee lakini jamaa atakua safe maana hakuna alama iliyopo ya madawa inayomuhusu, na ndio sababu anajiamini na kuruhusu vyombo vya dola vimchunguze.
 
Forum statistics

Threads 1,326,734
Members 509,585
Posts 32,232,910
Top