Recent content by Deog

  1. Deog

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Iringa: Huduma kwa Wateja IRUWASA ni shida

    Salam! Huduma ya kupata TOKEN za maji uliyonunua kwa njia ya mtandao ni shida. Unanunua maji ni kama una bet, inaweza usipate sms ya token, na ikirudi huchukuwa masaa. Kupiga huduma kwa wateja simu yako mpaka ipokelewe ni sawa na ku-bet nako. Hela imeenda, unahitaji maji hupati, unawapigia...
  2. Deog

    JamiiForums Tanzania Nimekosa ajira za ualimu tena

    Fikiria plan B, ipange plan B vizuri...songa mbele kwa mtanguliza Mungu. Kuna watu hawana ata hicho cheti chako cha Degree...fikiria kutumia talanta alizokupa Mungu. Mwombe Mungu sana.
  3. Deog

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya majina ya Kisukuma na maana zake

    Nini maana ya jina LUHAGA
  4. Deog

    JamiiForums Tanzania Naondoka nyumbani kwenda kutafuta maisha. Naenda Iringa kwanza, mwenye kazi au connection tafadhali

    Unatokea wapi? Karibu sana Iringa. Wenyeji wako tupo.
  5. Deog

    JamiiForums Tanzania Napitia wakati mgumu sana naombeni ushauri na msaada kwa kadri utakavyolipokea linalonisibu

    Mwanaume mwenzangu pole na changamoto, utavuka tu...zaidi ya yote umekuwa wazi kueleza hapa naamini bado kama wanaume tunaweza mtoa mwenzetu sehemu alipo. Nakutia moyo simama imara na hili litapita.
  6. Deog

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020

    Mwenye matokeo ya kura za maoni CCM jimbo la Malinyi naomba anijuze.
  7. Deog

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wa kaka yangu kanywa sumu

    Mwisho wa yote bro ako ndyo ana uwezo wa kuendelea kuwa na huyo mke au lah, wewe huwezi.
  8. Deog

    JamiiForums Tanzania January Makamba akifukuzwa natembea uchi Dar nzima

    Njiwa: utabiri wako umetimilika.
  9. Deog

    JamiiForums Tanzania Uhamisho

    Kupata Uhamisho 1. Mamlaka za Uhamisho Kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na 8. ya mwaka 2002 ikisomwa na Kanuni zake pamoja na Taratibu za Uendeshaji za mwaka 2003 Mamlaka ya Uhamisho kwa watumishi wote wa Umma ni Katibu Mkuu Ofisi Ya Rais-Menejimenti ya Utumishi Wa Umma na Kwa...
  10. Deog

    JamiiForums Tanzania Geita: Marufuku kwa watumishi kufuga ndevu na kuvaa t-shirt kazini

    Kinachoangaliwa ni wingi wa ndevu na t shirt au utendaji mzuri wa kazi?[emoji51]
  11. Deog

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Luthean kumzika Mengi ni udhaifu mkubwa

    Fact.
  12. Deog

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepata mrembo ananiambia kila siku Tshs.30,000 kulala na mimi

    UKIMWI UPO [emoji837]
  13. Deog

    JamiiForums Tanzania Mjamzito kujifungua kabla ya miezi 9

    Mkuu usishtuke,miye wife alifika mpk miezi 10 no uchungu,lkn alikuwa chini ya uangalizi wa daktari,lastly kuna dawa alipewa ya kuanzisha uchungu haikuchukuwa dk 10 alijifungua. **Warning** Bado anatakiwa kufuata ushauri wa daktari na kuudhuria clinic kama atakavyoshauriwa.
  14. Deog

    JamiiForums Tanzania Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

    Nimeona gari zina plate number "UT" ni taasisi gani? .com
  15. Deog

    JamiiForums Tanzania Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

    Hofu ondoa mkuu .com
Back
Top Bottom