Recent content by DENNIS MASHIMBA

  1. DENNIS MASHIMBA

    Jopo la Maaskofu lakutana Mbagala, latoa tamko zito

    Ee mwenyezi mungu wasamehe maana hawajui walitendalo. Tusali kwaimani wakirst tuiombee nchi yetu. amina
  2. DENNIS MASHIMBA

    Chadema wasiwasi wa nini?? Hata kufungua matawi mpaka muite wahandishi wa habari????

    Unamawazo mazuri ila hayana mantiki yoyote kwawatanzania wasasa ambao wameelimika, kazi unayo ndugu ila tu tambua yakwamba Tanzania yasasa sio yazamani. ukiwa kama mwana CCM kazi unayo jipangeni tena kwaupya manake hawa jamaa wa CDM wanasera nzr sana sana sana ambazo zinavutia napia watuonyesha...
  3. DENNIS MASHIMBA

    Uwanja wa nmc jijini arusha kufungwa ili kuidhibiti (chadema)

    Ha ha ha ha ha ha hiyo kari lia sidhani kama ninjia sahiin yakuwazibiti hawa people, bila shaka chama tawala wanajialibia kwawananch. mi binafis nadhani wangebuni sera nzur zakuwaldisha wananch kwenye mstar, ila wameshachelewa kwajinsi ninavyojua kwasasa hata kama mkutano ya cdm ikifanyika...
  4. DENNIS MASHIMBA

    CHADEMA wamfungulia kesi Nape

    Du! hapo kazi ipo :flypig:
  5. DENNIS MASHIMBA

    Kwanini IKULU ipo kimya,haijatoa TAMKO hadi sasa?

    Hapa kaka ukisubili tamko hadi auwawe kiongozi mmoja wangazi zajuu nadhani hapo tamko utalisikia, lakini wachumia juani kama sisi hatuna haki duniani ila nadhani hakiyetu tutaikuta mbinguni. kiukweli hapa nyie niwajanja lakini mbinguni.:A S 465:
  6. DENNIS MASHIMBA

    Kwanini IKULU ipo kimya,haijatoa TAMKO hadi sasa?

    Mtatumaliza serikali kwahali hii du. Jamani chama tawala kufanya hivyo mnadhani mwaweza badilisha hisia zawatanzania? hamujui kua kila kukicha mwajialibia kwawanchi wasiokua nahatia? mi nahisi kua huyu mwandishi wahabari alikua nahabari nzito sana yakuwaumbua hawa jamaa zetu, ili kupoteza yote...
  7. DENNIS MASHIMBA

    Kwanini IKULU ipo kimya,haijatoa TAMKO hadi sasa?

    Mtatumaliza serikali kwahali hii du.
  8. DENNIS MASHIMBA

    Polisi Waunda Tume ya kuchunguza kifo cha Daudi Mwangosi

    Hongereni Jeshi laporis kwakuendelea kufanya mauaji kwawatu wasiokua nahatia nchini, lakini ukweliwamambo utabaki palepale kua hamtoweza wabadilisha wanchi kwamawazoyao saizi, lakini yawapasa kukumbuka kua atendaye mabaya sikuzote hukumuyake pia hautokua nzuri mbinguni. Tanzania amani imepotea...
  9. DENNIS MASHIMBA

    Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi?

    Sawa kujiremba nisawa lakini kunawanawake wengine wanazidisha urembowao, ila kiukweli mimi binafis kunaulembo ninao uchukia ka kuongeza makalio, matiti nakujibadilisha rangi, kiukweli mimi nawachukia watu wanao fanya hivyo. hapa nilipofikia sijawai hona mzungu anayejiremba, ila hayomambo...
  10. DENNIS MASHIMBA

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    ZITO YUKO JUU. ANATUFAA:flypig: YUKO MOTO MOTO
  11. DENNIS MASHIMBA

    F.F.U wametapakaa kila kona ya manispaa ya Iringa Mjini!

    Du! hao ffu mbona mwatisha watanzania jamani, tanzania niinch yaamani bwana, fanyeni kazi kiuangalifu.:laser:
  12. DENNIS MASHIMBA

    F.F.U wametapakaa kila kona ya manispaa ya Iringa Mjini!

    Hao FFU nawasihii wafanye kaziyao kwaumakini nauangalifu, sio kupiga piga watu hovyo hovyo.
  13. DENNIS MASHIMBA

    Familia nzima ya Dr. Kigwangwala imeshindwa uchaguzi Nzega leo

    Hivi kweli chama tawala hakioni umhim wakubadil mwelekeowao nduguzanguni, haya sasa mamboyaanza badilika tz.:spy:
  14. DENNIS MASHIMBA

    Familia nzima ya Dr. Kigwangwala imeshindwa uchaguzi Nzega leo

    du hiyo mbona kali sana jamani familia nzima kukosa uongozi, kiukweli watanzania wasasa wamechoka narushwa tunataka haki sawa jamani.:flypig:
Back
Top Bottom