Familia nzima ya Dr. Kigwangwala imeshindwa uchaguzi Nzega leo

Kama ambavyo niliwajuza leo ni kuwa Mh. Kigwangala leo alikamatwa na rushwa wakati wakiwa katika harakati za kuomba kushinda....matokeo yametoka kama ifuatavyo...Mh Kigwangwala aligombea nafasi ya ujumbe wa Mkutano mkuu wa taifa kupitia wazazi na bahati mbaya amedondoka...mkewe aligombea mkutano mkuu wa taifa kupitia UWT nae kwa bahati mbaya ameanguka na mdogo wake aligombea mkutano mkuu wa taifa kupitia Vijana nae kwa bahati mbaya ameanguka.....poleni sana kwa kushindwa na kimbilieni Chadema

Unaleta habari nusunusu kama unawahi chooni kuhara.
Inatakiwa unatoe full habari, kama wameshidwa, nani ameshinda
 
CHADEMA ina nafasi kwa mtanzania yeyote toka chama chochote au bila kuwa mwanachama
kujiunga nao kwa sababu kuu nyingi lakini kubwa kulingana na uwazi wao utaona ni kama ifutavyo:

1.Si kwenda pale toka chama kingine kwa kuwa umekosa nafasi ulipo ila kwa lengo la kwenda kutoa mchango wako wa dhati ktk kutetea wanyonge.

2.Ujiulize kwa nini unaenda CHADEMA kwa sababu pale hapatakuwa kuomba uongozi ili uwe huru kudhulumu kama ilivyo huko ulikotoka.

3.CHADEMA hairuhusu matumizi mengine katika kuombea nafasi za kupata uongozi ndani yake zaidi ya sifa za uwezo na uzalendo na machungu utakayo kuwa nayo katika kutetea wanyonge.

Hayo na mengineyo mtu ajiangalie na ajipime je, yote hayo unayo?ndipo uje CDM.

Huku slogan ni: PEOPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOZE na Wananchi kwanza na sio staili ya nitarudishaje baada ya kuwa kiongozi kupitia CCM.
 
Kama ambavyo niliwajuza leo ni kuwa Mh. Kigwangala leo alikamatwa na rushwa wakati wakiwa katika harakati za kuomba kushinda....matokeo yametoka kama ifuatavyo...Mh Kigwangwala aligombea nafasi ya ujumbe wa Mkutano mkuu wa taifa kupitia wazazi na bahati mbaya amedondoka...mkewe aligombea mkutano mkuu wa taifa kupitia UWT nae kwa bahati mbaya ameanguka na mdogo wake aligombea mkutano mkuu wa taifa kupitia Vijana nae kwa bahati mbaya ameanguka.....poleni sana kwa kushindwa na kimbilieni Chadema

Itake cdm radhi kwa kuwataka walioshindikana ccm kwenda kwao
 
....[/QUOTE]
Mkuu Kilavo11, naungana na wewe, ushauri wangu kwa Dr. Kigwa, please, usikatishwe tamaa na matokeo haya, mimi mbona nilikwisha yaona kitambo tangu siku ile wannyazuia maanda mano yako kule Nzega!.

Just keep focus on being who you are, baada ya kuwa mbunge, japo ni kwa tiketi ya CCM, ukishachaguliwa unageuka ni mtumishi wa watu, hivyo wewe kama mtumishi wa watu, focus on watu!, wewe sio mtumishi wa CCM, japo ni kweli ni CCM ndio ilikupendekeza, lakini waliokuchagua na kukuweka hapo sio CCM, ni watu!, just keep focus yako kwa watu na 2015, ni watu wa Nzega ndio wataamua kiongozi wao ni nani na sio CCM Nzega!.

Ushauri huu pia nimewapa rafiki zangu wa Chadema, wengi wanaitarget CCM kama adui yao number 1, mimi nawasisitizi, kuwa kwa 2015, CCM doesn't matter much!, waconcetrate na ukombozi wa kifkra on masses, sio lazima kuijengea chuki CCM bali kueneza elimu ya demokrasia kwa watu wa chini waliokuwa wanaichagua CCM kwa mazoea tuu!.

Dr. Kigwa, pamoja na kutoridhishwa na utetezi wako kuhusu uhalali wa hilo jina lako, na orgin yake, binafsi nakukubali kuwa uliyesoma hiyo medicine ni wewe in whataver the name uliotumia, hivyo huo udaktari ni wa kwako kihalali na arguments zako zina mashiko, you are among wana CCM wachache ambao ni viongozi wa watu!, wengi wa viongozi wetu sio viongozi kweli bali ni watawala!, wewe Dr. Kigwa ni kiongozi kweli!.
 
Richmond haijawahi kuitimishwa! Labda kwa wana ccm
Mkuu mbona wewe ni msaharifu, Samweli Sitta akiwa spika alitangaza kuufunga mjadala huo ndani ya bunge wakati wabunge wengi hasa wa Chadema wakitaka uendelee,

kifupi Samwel Sitta mjanja na mnafiki mkubwa sana.
 
Mkuu Kilavo11, naungana na wewe, ushauri wangu kwa Dr. Kigwa, please, usikatishwe tamaa na matokeo haya, mimi mbona nilikwisha yaona kitambo tangu siku ile wannyazuia maanda mano yako kule Nzega!.

Just keep focus on being who you are, baada ya kuwa mbunge, japo ni kwa tiketi ya CCM, ukishachaguliwa unageuka ni mtumishi wa watu, hivyo wewe kama mtumishi wa watu, focus on watu!, wewe sio mtumishi wa CCM, japo ni kweli ni CCM ndio ilikupendekeza, lakini waliokuchagua na kukuweka hapo sio CCM, ni watu!, just keep focus yako kwa watu na 2015, ni watu wa Nzega ndio wataamua kiongozi wao ni nani na sio CCM Nzega!.

Ushauri huu pia nimewapa rafiki zangu wa Chadema, wengi wanaitarget CCM kama adui yao number 1, mimi nawasisitizi, kuwa kwa 2015, CCM doesn't matter much!, waconcetrate na ukombozi wa kifkra on masses, sio lazima kuijengea chuki CCM bali kueneza elimu ya demokrasia kwa watu wa chini waliokuwa wanaichagua CCM kwa mazoea tuu!.

Dr. Kigwa, pamoja na kutoridhishwa na utetezi wako kuhusu uhalali wa hilo jina lako, na orgin yake, binafsi nakukubali kuwa uliyesoma hiyo medicine ni wewe in whataver the name uliotumia, hivyo huo udaktari ni wa kwako kihalali na arguments zako zina mashiko, you are among wana CCM wachache ambao ni viongozi wa watu!, wengi wa viongozi wetu sio viongozi kweli bali ni watawala!, wewe Dr. Kigwa ni kiongozi kweli!.
[/QUOTE]
Pasco bana, huwa unashangaza wakati mwingine.
Yani Kigwa ni kiongozi wa watu lakini akitaka vyeo zaidi watu hao hao wanamnyima? Au watu unaowazungumzia sio hao wanasisiem wanaopiga chini kila akitaka kujirundikia mivyeo?

Vitumbua hoyeee!!!
 
Last edited by a moderator:
Said Bangile ni nani? Hapa tuna mzungumzia doctor msomi hatakama kaanguka uchaguzi atajipanga upya ktk makundi ya chama ukiona kakamatwa na rushwa basi alikuwa haitajiki na chama.
Ndio Jina halisi la huyo jamaa anayejiita Dr Hamis Kigwangwala
 
Mkuu Bigirita, kwa mfumo uliopo ili ugombee uongozi ni lazima udhaminiwe na chama, ila wanaokuchagua sio chama ni watu, ukishachaguliwa unageuka mtumishi wa watu na sio chama, hivyo Dr. Kigwa ana watu, CCM inachama, 2015 utashuhudia ni nani zaidi kati ya watu na chama.

Ndani ya katiba mpya hatuhitaji chama ili kugombea na huku mtatushuhudia watu kama sisi tikiingia ngomani kucheza hili game la politics.
 
Mh. Kigs pole zake,

Namsubiri tena aje Mwanza ili atupatie yale yaliyomtokea.
 
Huyu jamaa hachoki kugombea? Si juzi tu aligombea nafasi Afrika mashariki akashindwa? Kwani ni lazima kila nafasi awe yeye tu? Hizi tamaa nyingine ni za ajabu sana hebu tufanye ameshinda nafasi alizogombea Mbunge, nafasi E. Africa, mjumbe NEC angejigawa vipi kuwatumikia wananchi?
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Back
Top Bottom