Familia nzima ya Dr. Kigwangwala imeshindwa uchaguzi Nzega leo

Kama ambavyo niliwajuza leo ni kuwa Mh. Kigwangala leo alikamatwa na rushwa wakati wakiwa katika harakati za kuomba kushinda....matokeo yametoka kama ifuatavyo...Mh Kigwangwala aligombea nafasi ya ujumbe wa Mkutano mkuu wa taifa kupitia wazazi na bahati mbaya amedondoka...mkewe aligombea mkutano mkuu wa taifa kupitia UWT nae kwa bahati mbaya ameanguka na mdogo wake aligombea mkutano mkuu wa taifa kupitia Vijana nae kwa bahati mbaya ameanguka.....poleni sana kwa kushindwa na kimbilieni Chadema
hao warudi kwenye profesheni au wahame chama tu

CCM si baba yao
 
All in all i think he is one of very few from CCM who has potentials to be a good leader, na tumeona wengi wa aina yake kutokubalika kwenye kile chama, mf ni pale Sitta ambaye alikuwa Spika wa uhakika na mwenye kujali maslahi ya taifa alivyoangushwa kwenye uspika!! I think they Hate good leaders!!!
huyo muongo tu,uliza alipogombea urais chuo muhimbili kwa nini alikimbia?sio kiongozi huyo
 
All in all i think he is one of very few from CCM who has potentials to be a good leader, na tumeona wengi wa aina yake kutokubalika kwenye kile chama, mf ni pale Sitta ambaye alikuwa Spika wa uhakika na mwenye kujali maslahi ya taifa alivyoangushwa kwenye uspika!! I think they Hate good leaders!!!

good leader anahonga vitumbua?
 
Kama ambavyo niliwajuza leo ni kuwa Mh. Kigwangala leo alikamatwa na rushwa wakati wakiwa katika harakati za kuomba kushinda....matokeo yametoka kama ifuatavyo...Mh Kigwangwala aligombea nafasi ya ujumbe wa Mkutano mkuu wa taifa kupitia wazazi na bahati mbaya amedondoka...mkewe aligombea mkutano mkuu wa taifa kupitia UWT nae kwa bahati mbaya ameanguka na mdogo wake aligombea mkutano mkuu wa taifa kupitia Vijana nae kwa bahati mbaya ameanguka.....poleni sana kwa kushindwa na kimbilieni Chadema
Huwa wanagawa kanga, T-shirts na kofia, sasa yeye alikwenda kugawa vitumbua alidhani itakuwaje?
 
Vitu vya kawaida sana hivyo kwenye siasa...
Kama ukijua factors zinazodetermine ushindi kwenye uchaguzi huwezi kushtuka...
 
Watu wabaya sana; "kitumbua" wamekula, na wamewapiga chini vile vile! Anchezea Basha (sorry Bashe) wewe?
 
Kama ambavyo niliwajuza leo ni kuwa Mh. Kigwangala leo alikamatwa na rushwa wakati wakiwa katika harakati za kuomba kushinda....matokeo yametoka kama ifuatavyo...Mh Kigwangwala aligombea nafasi ya ujumbe wa Mkutano mkuu wa taifa kupitia wazazi na bahati mbaya amedondoka...mkewe aligombea mkutano mkuu wa taifa kupitia UWT nae kwa bahati mbaya ameanguka na mdogo wake aligombea mkutano mkuu wa taifa kupitia Vijana nae kwa bahati mbaya ameanguka.....poleni sana kwa kushindwa na kimbilieni Chadema

mi nilivyoona 2 anagawa ki2mbua...yeye na mkewe nikajua kuna tatizo
 
du hiyo mbona kali sana jamani familia nzima kukosa uongozi, kiukweli watanzania wasasa wamechoka narushwa tunataka haki sawa jamani.:flypig:
 
Kama ambavyo niliwajuza leo ni kuwa Mh. Kigwangala leo alikamatwa na rushwa wakati wakiwa katika harakati za kuomba kushinda....matokeo yametoka kama ifuatavyo...Mh Kigwangwala aligombea nafasi ya ujumbe wa Mkutano mkuu wa taifa kupitia wazazi na bahati mbaya amedondoka...mkewe aligombea mkutano mkuu wa taifa kupitia UWT nae kwa bahati mbaya ameanguka na mdogo wake aligombea mkutano mkuu wa taifa kupitia Vijana nae kwa bahati mbaya ameanguka.....poleni sana kwa kushindwa na kimbilieni Chadema
Umesema mwanzo alikamatwa akigawa rushwa halafu unamshauri ahamie CDM? Waombe radhi CDM.
 
Back
Top Bottom