Chadema wasiwasi wa nini?? Hata kufungua matawi mpaka muite wahandishi wa habari????

....kwani Chadema wanapowaita hao waandishi wa habari wewe unapatwa na pressure ya nini kijana? Ungekuwa unajua umuhimu na majukumu ya waandishi wa habari usingeropoka namna hiyo, mfano wakati wa ufunguzi wa tawi la Chadema kule Nyololo kusingekuwa na waandishi wa habari, policcm si wangesema hao hawahusiki na kifo cha Mwangosi na wangedai kapigwa na kitu kizito kama kawaida yao kudanganya ila waandishi wa habari wamesaidia ukweli kujulikana kutokana na ushahidi wa picha.

Kama policcm wamekutuma ulete ujumbe huo ili waandishi wa habari wasiwe wanaenda kwenye mikutano muweze kuuwa watu kiulaini, kawaambie 'mission impossible'
 
Hapana shaka sasa israeli wa mageuzi tanzania sasa ameikamata roho ya chadema. Hii ni wazi kabisa chadema inaelekea kwenye foleni ya nccr mageuzi, tlp na cuf. Ngoma ikilia saan upasuka. Haiingii akilini nguvu kuubwa inayotumika kutangaza shughuli za kufungua vishina ni yanini?? Ni wasiwasi kuwa chadema is a minor issue kwa watanzania. Ni lazima wawe kwenye magazeti kila siku vinginevyo itasahaulika. Jumapili ya jana ndo ilikuwa huruma ya mwaka. Mnyika ametembelea ubungo kufungua matawi. Amepata watu wachache kiasi kwamba hakuna gazeti hata moja na wala wale mavuvuzela wa jamii forum hawakuweka picha zake. Eti sasa wanachukua vipicha vya upareni ambavyo navyo ni miti tuu na wazee kama kumi hivi. Poleni wana chadema hata mrema aliondoka hivyo hivyoo. Kidumu chama cha mapinduzi.

Wasingeita waandhishi wa habari usijua na kama hukujua ungepata cha kaundika hapa. Ulitakiwa ushukuru wameita waandishi wa habari maana umepata kazi!
 
Mkuu mmwaisoba,nadhani hapo utakuwa unakosea..though ni mbunge wenu haimaanishi asichangie jamvo lenye maslahi kwa taifa( hata kama halitawagusa moja kwa moja wana Ubungo, mkuu...

Kweli mkuu, pia majimbo yenye wapinzani bado ni machache, siyo mbaya kusemea maeneo mengine ya nchi.
 
Hapana shaka sasa israeli wa mageuzi tanzania sasa ameikamata roho ya chadema. Hii ni wazi kabisa chadema inaelekea kwenye foleni ya nccr mageuzi, tlp na cuf. Ngoma ikilia saan upasuka. Haiingii akilini nguvu kuubwa inayotumika kutangaza shughuli za kufungua vishina ni yanini?? Ni wasiwasi kuwa chadema is a minor issue kwa watanzania. Ni lazima wawe kwenye magazeti kila siku vinginevyo itasahaulika. Jumapili ya jana ndo ilikuwa huruma ya mwaka. Mnyika ametembelea ubungo kufungua matawi. Amepata watu wachache kiasi kwamba hakuna gazeti hata moja na wala wale mavuvuzela wa jamii forum hawakuweka picha zake. Eti sasa wanachukua vipicha vya upareni ambavyo navyo ni miti tuu na wazee kama kumi hivi. Poleni wana chadema hata mrema aliondoka hivyo hivyoo. Kidumu chama cha mapinduzi.

Sass watapata Wapi news
 
Hapana shaka sasa israeli wa mageuzi tanzania sasa ameikamata roho ya chadema..... Ni lazima wawe kwenye magazeti kila siku vinginevyo itasahaulika. Jumapili ya jana ndo ilikuwa huruma ya mwaka. Mnyika ametembelea ubungo kufungua matawi. Amepata watu wachache kiasi kwamba hakuna gazeti hata moja na wala wale mavuvuzela wa jamii forum hawakuweka picha zake. Eti sasa wanachukua vipicha vya upareni ambavyo navyo ni miti tuu na wazee kama kumi hivi. Poleni wana chadema hata mrema aliondoka hivyo hivyoo. Kidumu chama cha mapinduzi.
Nashindwa kuelewa kama Mnyika alipata watu wachache wewe ulijuwaje na kama vyombo vya habari havikuandika? Kama hawataandika wanahabari basi hata wewe utaandika ndo kama hivi umeandika. Chama cha mafisadi hakitatawala milele, na kwa taarifa yako mwisho wake umekaribia saana.
 
Hapana shaka sasa israeli wa mageuzi tanzania sasa ameikamata roho ya chadema. Hii ni wazi kabisa chadema inaelekea kwenye foleni ya nccr mageuzi, tlp na cuf. Ngoma ikilia saan upasuka. Haiingii akilini nguvu kuubwa inayotumika kutangaza shughuli za kufungua vishina ni yanini?? Ni wasiwasi kuwa chadema is a minor issue kwa watanzania. Ni lazima wawe kwenye magazeti kila siku vinginevyo itasahaulika. Jumapili ya jana ndo ilikuwa huruma ya mwaka. Mnyika ametembelea ubungo kufungua matawi. Amepata watu wachache kiasi kwamba hakuna gazeti hata moja na wala wale mavuvuzela wa jamii forum hawakuweka picha zake. Eti sasa wanachukua vipicha vya upareni ambavyo navyo ni miti tuu na wazee kama kumi hivi. Poleni wana chadema hata mrema aliondoka hivyo hivyoo. Kidumu chama cha mapinduzi.
Ndugu yangu kwani wewe inakukera nini CDM wakiita waandishi wa habari kuripoti ufunguzi wa matawi???

Kwa mtu mwenye akili timamu ataona ni bora kila tukio la CDM likawa covered na reporters maana mara nyingi tuu serikali ya CCM inatumia nguvu kubwa kudhibiti mikutano ya CDM hata kufungua matawi, si umeshuhudia Nyololo Iringa mauwaji ya Mwangosi?????

Tulia unyolewe wakati ndio huu kazi yako imefika ukingoni tuko kwenye taratibu za kukuaga!!!!

Join Date : 10th September 2012
Posts : 66
Rep Power : 103
Likes Received 5
Likes Given 0

angalieni kaja lini?
 
Hapana shaka sasa israeli wa mageuzi tanzania sasa ameikamata roho ya chadema. Hii ni wazi kabisa chadema inaelekea kwenye foleni ya nccr mageuzi, tlp na cuf. Ngoma ikilia saan upasuka. Haiingii akilini nguvu kuubwa inayotumika kutangaza shughuli za kufungua vishina ni yanini??

Ni wasiwasi kuwa chadema is a minor issue kwa watanzania. Ni lazima wawe kwenye magazeti kila siku vinginevyo itasahaulika. Jumapili ya jana ndo ilikuwa huruma ya mwaka. Mnyika ametembelea ubungo kufungua matawi. Amepata watu wachache kiasi kwamba hakuna gazeti hata moja na wala wale mavuvuzela wa jamii forum hawakuweka picha zake.

Eti sasa wanachukua vipicha vya upareni ambavyo navyo ni miti tuu na wazee kama kumi hivi. Poleni wana chadema hata mrema aliondoka hivyo hivyoo. Kidumu chama cha mapinduzi.
nimesoma habari kwa masikitiko nikidhani kuwa labda una point unataka kuitetea, ila nilipofika hapo kwenye red, nikagundua kuwa gamba la kwenye masaburi linakusumbua!
 
528756_226722450787550_2027269648_n.jpg
Mkuu imekaa utamu hiyo, hata mabibi wamo tu M4C mbele kwa mbele!!!!

Hivi sasa namsikia Mzee Malecela anasema CCM hawaingoi ngooo hizo ni kelele za chura. Jana kweli Mnyika ameonja joto ya jiwe. Kaja kule kimara eti kufungua matawi. Hakupata hata waatu 30 na matokeo yake aliondoka kichwa chini. Watu wengi wameapa kuwa watamshikisha adabu wakati wa uchaguzi mkuu. Huyu ni mbunge wa Tanzania siyo wa ubungo. Anajifanya yeye ni kama rais kuzungumzia kila jambo hata kama halina maslahi kwa wana Ubungo

Wewe ni Muongo, hakuna mkutano wa chadema unaokosa wananchi hata ukifanyika kijijini, leo Kimara mjini kabisa! wewe ni mzushi!
 
Unamawazo mazuri ila hayana mantiki yoyote kwawatanzania wasasa ambao wameelimika, kazi unayo ndugu ila tu tambua yakwamba Tanzania yasasa sio yazamani. ukiwa kama mwana CCM kazi unayo jipangeni tena kwaupya manake hawa jamaa wa CDM wanasera nzr sana sana sana ambazo zinavutia napia watuonyesha uozowenu wana CCM natunauona, kwakweli munauozo so sir. kazi mnayo ww umeona tu dar, jalib kutembea ndg utaona mambo yanavyozidi kuwawia magum, nenda mbeya, arusha, mwanza, tarime, sumbawanga nasehem nyingine nyingi tu utaona chamoto, vipi jimbo laigunga noti zenu hazijafanya kazi ipasavyo bilashaka hawa CDM watachukua bila kampeini. poleni ndg hayo ndomabadiliko yanaanza hadi 2015 kitaeleweka tu hata kwafimbo. manake nchi hii wasomi wamejaa saiz.:flypig::flypig: NII NIISHARA YAKUTOKUCHOKA KATIKA KUTAFUTA UKOMBOZI.
 
Kwanza mtu mwenyewe hata kiswahili fasaha huwezi kuandika, pili unakuwa kama unajitekenya mwenyewe halafu unacheka mwenyewe...........
 
Unajua mtu akitaka kuzama majini haishi kurusharusha mikono (Kutapatapa) yaani wakati huo akiona hata kibunzi cha mhindi atatamani akishikilie kimfikishe nchi kavu. Pole sana kaka hatudanganyiki.
 
hivi idd azzan anafanya nini?,zungu anafanya nini?,mahanga anafanya nini?,.............................................................................................
halafu unakuja hapa kuhoji utendaji wa mnyika!
nenda almashauri kawaulize jinsi anavyowabana.
 
Back
Top Bottom