DENNIS MASHIMBA
Member
- Aug 27, 2012
- 15
- 0
Ee mwenyezi mungu wasamehe maana hawajui walitendalo. Tusali kwaimani wakirst tuiombee nchi yetu. amina
Shalom, nashukuru sana kwa ujumbe Huu uliojaa hekima na busara. Langu ni moja kwenu maaskofu na wakristo wote. Hivi hamuwezi kuacha tofauti zenu za madhehebu mkakaa pamoja na kutoa tamko moja kuonyesha uimara wa mwili wa KRISTO? Kila dhehebu na tamko mh! umoja baba aliowapa ktk kuchunga kondoo uko wapi? Hata kwenye Shida hivi Jamani?
Queen Esther
Kaka Maaskofu wameenda shule.Vichwa vimetulia vile.Yaani kati ya Maaskofu 19 wa KKKT nane ni Madokta!!!!! I like it.
Shule inasaidia sana, viongozi wa dini ya kikristo wana PHD, na matamko yao yanajenga UPENDO, MSHIKAMANO NA AMANI... Ushauri kwa sisi waislamu, tuwashawishi viongozi wetu wa dini waongeze elimu, wengi wao ni DARASA LA SABA.
Wallah jamani.Mmmmh ndugu zangu wakristo mnatisha.Yaani maaskofu 20 Phd 8!!!! duuuu. Yarabi toba wa billah. Sipati picha wangekaa mashekhe 20 wakiongozwa na Dr.shekhe issa ponda.Yangetoka matamko hayooo we
Mungu akubariki ili uijue kweli ikaayo ndani yake.kwangu kuchoma kanisa ni sawa na kuchoma material ya darasa la tatu.kwhyo hakuna effect yeyote ile.ALUTA CONTINUA
Shalom, nashukuru sana kwa ujumbe Huu uliojaa hekima na busara. Langu ni moja kwenu maaskofu na wakristo wote. Hivi hamuwezi kuacha tofauti zenu za madhehebu mkakaa pamoja na kutoa tamko moja kuonyesha uimara wa mwili wa KRISTO? Kila dhehebu na tamko mh! umoja baba aliowapa ktk kuchunga kondoo uko wapi? Hata kwenye Shida hivi Jamani?
Queen Esther
Wakristu siku zote si watoa hukumu kwani hawashughuliki na mwili ambao utabaki duniani ila wanashughulika na roho ambayo itapata hukumu siku ya kiama
Tunawatakia kila la kheri na matamko yao ila wafahamu hii nchi ni ya Waislamu na Wakristo. Busara na hekima itumike na sio vitisho na mikwala. Kwani vijana wa kiislamu na waislamu wengi wamewachoka sio siri. Ni vema wakatafakari vizuri kitu wanachokizungumza isije kuishia tukashindwa kuishi kwa amani nchini mwetu hali ni mbaya.