2023-2024 nlianzisha biashara ya uwakala maeneo fulani Nikaamua kumuajili Msela / rafiki alie kua kama ndugu na hii ni kwakua jamaa alikua hana mchongo anaunga unga tu so nikamshika mkono nikampa mtaji kama wa 10M guess what baada ya miezi 8 ananambia pesa imepotea amebaki na 2M na apo biashara...
Wewe ni kenge wa kiwango cha kwanza
Yani nakaa Mkuranga au nakaa Msasani kupanda bus asubui unataka nilale kituoni or niende mpk Magufuli?
Unajua umuhimu wa kusogeza huduma?
Basi tuishauri serikali isijenge zahanati kwenye kata watu wote waende kutibiwa muhimbili apo maana ata izo hospitali za...
Dah wacha ni nyamaze nimeajiliwa moja ya kampuni kubwa ya simu upande wa kuhudumia wateja.. kazi hii naipenda ila inachangamoto sana maana inakufanya uwe malaya sana.
Ninaumri wa miaka 25,na kwenye kazi hii na miaka 5 nilipata mteja siku moja Mama wa makamo amezaliwa 1968 aliefika kwa Dada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.