Mabraza wa Kariakoo na dili zao

******NDUGU WASOMAJI KWA SASA NIMEOKOKA NAMPENDA YESU KAMA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU...HAYA NI MAISHA YA NYUMA MSIWE NA MASHAKA NA BROTHER YENU******NAADITHIA TU.
INAENDELEA.....!!!
Sina shaka na wokovu wako bro , one day nitakuibukia mitaa yako though nilibahatika kutimiza ndoto ya kuwepo Muhimbili ila udown town bado wanitesa sana na anasa so pray for me , mabro nawakubali sana .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Utoto bwana.

So mtu bado hujamuuzia mzigo anakupa ganji?

Huyu mwingine hajapokea mzigo anakupa ganji?

Hawa wengine hawajamkamata mwizi bado wanakupa ganji?

Mudi hata hamkujua kama yupo Magomeni ila kajitokeza ili akupe laki 9?

Manina
kama Wewe Mkubwa Kaa Kando Huu Uzi Tuachie Watoto.Kikao Cha Watoto Na Wewe Unashiriki Una Akili Kwel?
 
Sina shaka na wokovu wako bro , one day nitakuibukia mitaa yako though nilibahatika kutimiza ndoto ya kuwepo Muhimbili ila udown town bado wanitesa sana na anasa so pray for me , mabro nawakubali sana .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
NDOTO ZA MUHIMBILI CHUO CHA UDAKTARI WATOTO WOOOTE WA AZANIA NA TAMBAZA NA JANGWANI WALIKUA NAZO ILA MAISHA YANA MAMBO MENGI....ENZI HIZO KILA MTU UKIMUULIZA ANATAKA KUA DAKTARI BINGWA!!!
NB:LET'S PRAY TOGETHER AMEEN
 
EXTRA:
Kabla sijaendelea ningependa kidogo niwajuze kitu...Unajua watu hasa watoto wa mama hawaelewi baadhi ya vitu wanachukulia maisha poa hasa wakiwaona mabraza na madogo wa DOWNTOWN.
1:WEWE KAMA MPAKA LEO WAZAZI WAPO SHUKURU MUNGU
2:WEWE KAMA HUJAWAHI KUA TEJA SHUKURU MUNGU
3: WEWE KAMA HUJAWAHI KWENDA JELA SHUKURU MUNGU
4: WEWE KAMA HUJAWAHI KULALA NJAA SHUKURU MUNGU.
5: WEWE KAMA UNA AFYA NJEMA SHUKURU MUNGU.
6:WEWE KAMA UNA MKE MWELEWA SHUKURU MUNGU
7: WEWE KAMA UNA WATOTO SHUKURU MUNGU.
Watoto wa downtown hatukupenda kua wezi au majambazi au vibaka au matapeli...Hatukupenda kila siku kukinzana na vyombo vya sheria.hatukupenda kua wahalifu au makahaba au malaya na hatuna excuse yoyote ile.
Lakini maisha wewe yasikie kwa mwenzio omba yasikukute.
Hatukuzaliwa familia bora hivyo ilitubidi tupambane kuanzia kwenye kusoma mpaka kutafuta chaneli za kutoka.
Hatukutokea familia zenye uwezo au wazazi wetu kua na ajira rasmi....tulitokea maisha ya watu wa daraja la chini.
UNAJUA KWANINI????
1: TULIUZA NGADA.
2: TULIUZA SIGARA PORI.
3: TULIKUA MARIOO.
4: DADA ZETU KUA MAESCORT NA MAKAHABA NA MAPROSTUTE UGHAIBUNI.
5: WADOGO ZETU KUKATAA SHULE ILI KUSAKA MAHELA WAKITUIGA SISI.
6:WAZAZI WETU KUTUKOMAZA KABLA YA WAKATI.
7: NA WALIMU WETU WA SEKONDARI KUTUSUSA TUJIFUNDISHE WENYEWE NA TULIFAULU KIBISHI.
Maisha wakuu na yalitufanya tupambane na ni Mungu tu ndio ametuweka hai mpaka leo""TULIKUA WADOGO NA TULIHITAJI UPENDO NA UANGALIZI ILA JAMII ILITUTENGA MABRAZA WAKACHUKUA JUKUMU LA KUTULEA KIMTAA MPAKA TUNAKOMAA NA MAISHA.
HAKUNA KIONGOZI WA SERIKALI KUANZIA NGAZI YA KITAIFA MPAKA MTAA ALIYEWAHI KUTUPA SAPOTI YA VITENDO ZAIDI YA MANENO......NI MUNGU TU ALITUONEA HURUMA.
1: TUSHAKABA.
2:TUSHADHULUMU.
3:TUSHATAPELI.
4:TUSHANUSURIKA KUFA ILA HATUKUWAHI KUTAKA KUUA SABABU YA PESA""DAMU NZITO.
5:TULITOKA MBALI MPAKA HUKO MBALI HATUPAKUMBUKI TENA.
6: TUSHAJIKANA UTU WETU KATIKA HARAKATI KWA KUWEKA REHANI ROHO KWA DILI HATARI ZA KWENYE BLACK MARKET'S WORLDWIDE.
7:TUSHAPOTEZA HISIA ZA KUKASIRIKA AU KUSUSA AU KUNYONGONYEA.
Mtaani unaamka asubuhi baba anakuangalia na mama anakuangalia na wadogo zako wanakutazama.,....utafanyaje na umetokea maisha ya tabaka la chini????
THAT'S WHY WE BECOME FIRST DOPE NIGGA,S IN (EA) ENZI HIZO ZA MID 1980,S AND 1990,S...!!USIPOTOKA MAISHA YANAKUTOKEA WEWE
Mabraza walitufundisha roho ngumu.....ya kwamba dili halali fanyia mwangani na haramu fanyia gizani....Hata ulaya tulikataa kwenda bila mipango maana tulikua na ndoto kubwa kuliko uhalisia wenyewe...!!!
Kutokana na ndoto kubwa kuliko uhalisia kitaani tuliwapoteza hawa wana.....maisha ni kujaribu bahati nasibu ni kama kamari...kuna kula au uliwe...!!
RIP : NGUZO YOSSO A.K.A BOSS
RIP : ORIGINAL MUBANDA A.K.A NYERERE
RIP : JEBBY YOSSO A.K.A MTIKILA
RIP : MEDDY YOSSO A.K.A MTEMVU
RIP : MUNDENDE YOSSO A.K.A SOKOINE
RIP : KITWANA YOSSO A.K.A SALMINI
RIP : AFIZI YOSSO A.K.A KARUME
RIP : KIPEPE YOSSO A.K.A MALICHELA
RIP :MALI YA MUNGU A.K.A KAMBONA.
Watoto wa downtown tulipambana wenyewe hatukupambaniwa na hata nyumba za urithi hatukuhesabiwa sababu koo zetu za kiafrika tunazijua wenyewe.
Tofauti na sasa enzi hizo pamoja na tofauti zetu ugomvi kuibiana na kudhulumiana ila mwisho wa siku tulipeana chaneli.....za aina zote na kizazi chetu kilikua mfano wa kuigwa.. !!!Unajua watu wengi waga wanachukulia watoto wa downtown kama watoto wa kishua ila asilimia 80% ni watoto wa watanzania wenye kipato cha chini.Hivyo ukiona watoto wa downtown wamefanikiwa waheshimu""WAMEPAMBANA""
KATI YETU KUNA WALIOPO JELA MPAKA LEO KAMA AKINA...!!!
MUBABA 27yrs.....anatoka 2032
NONDO Life sentence
KIBAKULI SR Life sentence
BAKULE 17 years,,,anatoka 2026
Y2K 9 years anatoka mwaka huu 2024.....Hao wote wapo jela za ughaibuni na kuna wengine walishatoka kama akina
LUNYAMILA alikaa jela miaka 9
MEJA alikaa jela miaka 6
SHOKISHUGI alikaa jela miaka 4....na wengine weengi nimeshawasahau...wote walipata majanga katika kutafuta maisha
Maisha yanaenda kwa kasi na uzee unakuja ila kumbukumbu ni kama jana tu......enzi hizo watu wachache downtown....leo hii downtown pekee watu karibia laki nne wanaingia na kutoka city center kila baada ya masaa mawili.
Kwahiyo ukiona wazee wa downtown wana maisha yao basi wape heshima....mjini bila akili ya kiroho na kimwili hauwezi kufanikiwa kwa lolote na chochote.
MWISHO WA EXTRA
TUTAENDELEA NA SIMULIZI.....!!!
 
Y2K.....Hao wote wapo jela za ughaibuni na kuna wengine walishatoka kama akina
LUNYAMILA alikaa jela miaka 9
MEJA alikaa jela miaka 6
SHOKISHUGI alikaa jela miaka 4....na wengine weengi nimeshawasahau...wote walipata majanga katika kutafuta maisha
Maisha yanaenda kwa kasi na uzee unakuja ila kumbukumbu ni kama jana tu......enzi hizo watu wachache downtown....leo hii downtown pekee watu karibia laki nne wanaingia na kutoka city center kila baada ya masaa mawili.
Kwahiyo ukiona wazee wa downtown wana maisha yao basi wape heshima....mjini bila akili ya kiroho na kimwili hauwezi kufanikiwa kwa lolote na chochote.
MWISHO WA EXTRA
TUTAENDELEA NA SIMULIZI.....!!!

Interesting story, hao wenye ubini wa Yosso ni familia moja? Vifo vyao vilisababishwa na nini?
 
Back
Top Bottom