Recent content by Democrasia

  1. Democrasia

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Admin naomba uniad kwenye group la FTA 0757800054
  2. Democrasia

    Baadhi ya gari za Polisi kutokuwa na plate number

    Kuna askari hapa kituo cha USA river wana magari hayana hata plate number. Kuna mmija anagari aina ya nissan terano lina chasis number mwaka wa suta sasa
  3. Democrasia

    Msaada kuhusu magari ya zamani

    Wadau poleni na majukumu ya kujenga taifa hili, mimi ni mfanyabiashara wa shughulu za usafirishaji, nimekuwa kwenye biashara hii kwa takriban miaka 12 sasa, nimekuwa nikitumia Landcruser na Landrover kama vyombo vya usafiri. wiki iliyopita nilikwaruzana na mmoja wa wafanyakazi wangu ambaye...
  4. Democrasia

    Tunaomba mhe Magufuli atembelee Mt Meru hospital

    Mbona mama Mokiti naona yuko Bizy saba au danganya toto
  5. Democrasia

    Nitazungumza na Watanzania kuomba ridhaa ya kuwania Urais

    We wakati unawashambulia wapinzani uliona kuwa ni deal sasa sijui.............akili kumkichwa
  6. Democrasia

    Kinana yupo Moshi Mjini kwa ziara ya Kichama

    Utaikumbuka sana BAVICHA
  7. Democrasia

    Wanaoharibu Bunge ni Kina Nani?

    Hamadi Rashidi aliongoza chini ya kamanda 6. Na bunge lilikuwa la waelewa sio hili ambalo ni Impotent
  8. Democrasia

    Sensa

    Kuhesabiwa ni muhimu jamani
  9. Democrasia

    Hukumu ambayo haijawahi kutokea

    Jamani naombeni muweze kupitia hii hukumu kwa wale wanataaluma wa sheria waweze kushauri pale inapowezekana Naomba kuwasilisha
  10. Democrasia

    Polisi Central Arusha: Shangwe na wimbo wa Taifa vyarindima

    Kichwa Maji wewe RITZ, tafuta kalavat lakujificha
  11. Democrasia

    Msaada kuhusu masuala ya kodi

    Jamani naomba msaada nina kampuni yangu na nilitakiwa kulipa VAT, Provisional Tax Mimi likikuwa nimesafiri nikakuta kijana wangu amelipa vyote kwa paoja kwa kutumia cheki moja. sasa naomba msaada wa yafuatayo:-J *Kuna kosa lolote kisheria *Je ukilipa VAT kwa commisioner of demestic revenue...
Back
Top Bottom