Wanaoharibu Bunge ni Kina Nani?

Wanaoharibu Bunge ni Kina Nani?

Baadhi ya wabunge ambao ni wahuni.
 
Wabunge na viongozi wa bunge wasio na uchungu na umasikini ujinga na maradhi ya watanzania,wasiojiamini na waliopewa uongozi kama zawadi!!

mtu mwenye dira na malengo ni mwenye ujasiri hekima akili mvumilivu na mwenye kutetea hoja za kitaifa badala kuwa shabiki tu wa mambo au watu fulani huyu ni mnafiki na mvivu na hatari sana kwani agenda yake ni kumfurahisha tu yule aliyemzawadia cheo au ubunge!!!

Nachukizwa sana na watu wa namna hii na ni 85% ya viongozi wetu.


Namfagilia sana Marehemu Sokoine pamoja na kuwa alikuwa elimu ndogo lakini alisimamia maamuzi yake

Na inonekana huwa hawawasikilizi wananchi kabisa...
 
Tehe tehe!! mimi bado nahisi tatizo ni Wabunge wa upinzani ndiyo wanaoharibu Bunge letu na ninaamini tukiwang,oa meno na kuwatupa Mabwe pande ukimya utarudi tena Bungeni.....lol

Ukimya ni lugha ya wafu na wanaoitikia wasichokijua ni wapumbavu.

Kama 1bn inaombwa kununulia makaburi ya viongozi, huku wamama wanakufa kwa kukosa huduma za kujifungua kwa wakati ni jambo la wewe kujivunia, basi huna tofauti na marehemu waliokufa kale ya zamani, tena katika hali ya dhambi.
 
Kila sehemu sasa, ni mazungumzo ya Bunge na Utovu wa Nidhamu...
Kila mtu anazungumza...

Hata hapa mengi sasa ni kuhusu Bunge..
Wanaoharibu sasa ni kina nani?

A. Spika na Naibu Spika

B. Wabunge wa Upinzani

C. Wabunge wa CCM

D. Wote


Tungepata Poll hapa ingependeza zaidi...

Nchi sasa inalijadili Bunge...


Wanaoharibu bunge ni SPIKA na NAIBU WAKE
 
hakika kuna ukikukaji wa sheria na kanuni za bunge haswa pale upinzani wanapojaribu kutetea maslahi ya wananchi kama tukio la juzi ni ubabe na jazba za naibu spika hivi ni sheria gani inamkataza mbunge asiombe mwongozo zaid ya mara 20
?

Noted..tunaweza kutoa lawama nyingi sana kwa wabunge..
kumbe kuna wakuwalaumu
 
tatizo watz ni wavivu wa kuangalia mabunge ya nchi nyingine .mbona mambo ya kawaida tu.subirini baada ya uchaguzi ujao vijana wengi waingie bungeni
 
Chadema wanaharibu Bunge.

Mbowe kashindwa kuongoza upinzani.

Wabunge wa chadema wanajiendea tu kama mbuzi wa Vingunguti wasio na mchungaji.

Hamad Rashid aliongoza vizuri zaidi upinzani Bungeni katika Bunge la tisa.


Mkuu nilikuuliza hapo awali.

Kama Hamad Rashid alifanya vizuri thibitisha mazuri yake!

a) Cuf imejichokea vibaya tena sana, mara kumi tukiongelea NCCR wanajitutumua

b) Kama alifanya vizuri vipi mbona hajaendelea kwenye kiti hicho? na hili linathibitisha kufeli kwake.

c) Unadhani kwa mtazamo wako anafaa? kwanini amefukuzwa ndani ya Cuf na sasa anaishi kwa majaaliwa!
 
Chadema wanaharibu Bunge.

Mbowe kashindwa kuongoza upinzani.

Wabunge wa chadema wanajiendea tu kama mbuzi wa Vingunguti wasio na mchungaji.

Hamad Rashid aliongoza vizuri zaidi upinzani Bungeni katika Bunge la tisa.

Bunge lilikuwa na heshima tofauti na hivi sasa,Sitta hakuwa nduminakuwili ndiyo maana ilifikia hatua wakataka kumfukuza uanachama huko Musoma
 
tatizo watz ni wavivu wa kuangalia mabunge ya nchi nyingine .mbona mambo ya kawaida tu.subirini baada ya uchaguzi ujao vijana wengi waingie bungeni

Kwahiyo wewe haya yanayoendelea huko bungeni kwako ni sawa?
 
Hamad Rashid alifanya kipi cha kukumbukwa kwa muda wote aliokuwa kiongozi wa upinzani bungeni? Au kwa kuwa alikuwa swahiba wa mafisadi? Fikiri upya.
 
Hamad Rashid alifanya kipi cha kukumbukwa kwa muda wote aliokuwa kiongozi wa upinzani bungeni? Au kwa kuwa alikuwa swahiba wa mafisadi? Fikiri upya.

Mkuu signature yako ni matataaa...:yo:
 
A & C wanachotafuta ni CCM yao ibaki salama na sio kuleta maendele kwa UMMA.
 
A & C wanachotafuta ni CCM yao ibaki salama na sio kuleta maendeleo kwa UMMA.
 
Chadema wanaharibu Bunge.

Mbowe kashindwa kuongoza upinzani.

Wabunge wa chadema wanajiendea tu kama mbuzi wa Vingunguti wasio na mchungaji.

Hamad Rashid aliongoza vizuri zaidi upinzani Bungeni katika Bunge la tisa.

Hamadi Rashidi aliongoza chini ya kamanda 6.
Na bunge lilikuwa la waelewa sio hili ambalo ni Impotent
 
Back
Top Bottom