Democrasia
Member
- Feb 1, 2008
- 79
- 3
Hicho ulicho attach hakionekani vizuri labda ufafanue kwa maelezo
Ndugu yangu, Hiyo ni amri tu ya Mahakama na si hukumu. Lakini pia katika Majaji vilaza ambao nafikiri Lissu anaweza pia kuwa amewaongelea katika ile hotuba yake ni huyu Jaji Chinguwile,tangu akiwa High Court Land division alikuwa kituko,si tu kwenye maamuzi anayoyafikia bali pia namna ya hukumu anazozitoa,ni kilaza kwelikweli. Lakini najiuliza pia,kama karatasi zilizotumika kufungulia hiyo kesi si kama zile zinazotakiwa kwa mujibu wa maelekezo ya Jaji Mkuu,kama Chingyuwile alivyosema, how was the case admiited? How was it assigned to her? Yaleyale ya akina Werema ya kufikiri kwa kutumia masaburi,poor judicial system of Tanzania. Watu sasa sijui wakimbilie wapi kupata haki zao kama majaji wenyewe tulionao ndiyo wa namna hiiJamani naombeni muweze kupitia hii hukumu kwa wale wanataaluma wa sheria waweze kushauri pale inapowezekana Naomba kuwasilisha
Ndugu yangu, Hiyo ni amri tu ya Mahakama na si hukumu. Lakini pia katika Majaji vilaza ambao nafikiri Lissu anaweza pia kuwa amewaongelea katika ile hotuba yake ni huyu Jaji Chinguwile,tangu akiwa High Court Land division alikuwa kituko,si tu kwenye maamuzi anayoyafikia bali pia namna ya hukumu anazozitoa,ni kilaza kwelikweli. Lakini najiuliza pia,kama karatasi zilizotumika kufungulia hiyo kesi si kama zile zinazotakiwa kwa mujibu wa maelekezo ya Jaji Mkuu,kama Chingyuwile alivyosema, how was the case admiited? How was it assigned to her? Yaleyale ya akina Werema ya kufikiri kwa kutumia masaburi,poor judicial system of Tanzania. Watu sasa sijui wakimbilie wapi kupata haki zao kama majaji wenyewe tulionao ndiyo wa namna hii
Nafikiri Mh. T.A. Lisu alikuwa anawazungumzia Majaji kama hawa, huu ni ushahidi tosha ikiwa Mh. F. Werema (Mwanasheria Mkuu wa Serikali) ataendelea na dhamira yake ya kumshitaki Lisu. Soma mstari wa mwisho... "The plant is hereby rejected..........." Kumbe kazi mojawapo ya majaji ni kukataa mimea(Plant)
Hiyo ni kawaida kabisa, kesi yako ina