radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,438
- 32,248
Kumekuwa na baadhi ya gari za polisi kutokuwa na plate number hasa zikiwa kwenye doria hili limekaaje? Utakuta wote wamevaa kiraia wamebeba bunduki kuna wengine sio waungwana kwa raia.
Je tutafanyaje kutoa taarifa ikiwa wamekiuka baadhi ya mambo sehemu husika? wao sio malaika kwamba hawakosei hii ni kwa nia njema.
Je tutafanyaje kutoa taarifa ikiwa wamekiuka baadhi ya mambo sehemu husika? wao sio malaika kwamba hawakosei hii ni kwa nia njema.