Mungu ninayekuabudu,mwingi wa amani,iponye tanzania.iponye africa mashariki,iponye africa na vita vya wenyewe kwa wenyewe.
waondoe viongozi wenye hila,waliojaa chuki,wivu,chokochoko,wasio na uvumilivu au unyenyekevu,wanaopenda sifa na majivuno,waliokosa subira.Mungu tupe amani,umoja na amani...